Kijana wa kiume natafuta bajaji ya mkataba

Kijana wa kiume natafuta bajaji ya mkataba

lugohe

Member
Joined
Mar 12, 2022
Posts
8
Reaction score
14
Habari, kijana wa kiume natafuta bajaji ya mkataba au hesabu iwe kwenye hali yoyote muhimu iwe inatembea.

Au mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kazi yoyote ya kufanya kwa sasa nipo dar
Elimu yangu form 4, ujuzi udereva leseni class a,a3,d pia nina uzoefu wa Kazi ya ufundi aliminium pia nilishawahi jiajiri kazi ya uwakala.umri 25
0673664434
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom