Miaka 19 mpeleke hata jirani ajifunze kutengeneza magari, mpeleke jirani hapo ajifunze kushona nguo, mpeleke jirani hapo ajifunze kutengeneza Kochi, Acha kumfanya ahajiliwe akiwa na miaka 19, atakutegemea siku zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Simtoi kwa sababu amekuwa kupe kumlea kwa itemz of chakula na malazi nammudu vizuri yeye mwenyewe ndo haridhiki kukaa nyumbani tu kama mlinziYeye mwenyewe ameridhia au unamtoa maskani kiaina baada ya kuona amekuwa kupe!
AStaghafirulilah wallahHuyo aliyeshindwa kazi ya duka la kaka yake? hadi likafa
MPELEKE SHAMBANI AU FUGA HATA KUKU.TUSIWE WAVIVU WAKUFIKIRI .AKIENDA KUFANYA KAZI ZA MJINI ATAISHIA KUTAZAMA TV SIKU NZIMA NA SINEMA ZETUNina mdogo wangu ana umri wa miaka 19 yupo tu nyumbani hasomi kwa sababu kaka yake nimetingwa kidogo nikashindwa kumuendeleza. Kama unaitaji kijana wa kazi uniambie ikiwa Arusha itakuwa poa sana ni mwaminifu na ana heshima kwa kila mtu. Anaweza kufanya kazi ya kuuza bidhaa na ana uzoefu wa hiyo kazi kwani alikuwa anakaa dukani kwangu biashara ikaja kuwa mbaya nikafunga. Ila hata kazi nyingine yoyote tu ni poa ila sio za ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
No duka lilikufa kwa stail nyingine tu wala hausiki hata kidogoHuyo aliyeshindwa kazi ya duka la kaka yake? hadi likafa
Hao kuku nitawafugia sebuleni?nipo mjini huku nimepangisha chumba na sebuleMPELEKE SHAMBANI AU FUGA HATA KUKU.TUSIWE WAVIVU WAKUFIKIRI .AKIENDA KUFANYA KAZI ZA MJINI ATAISHIA KUTAZAMA TV SIKU NZIMA NA SINEMA ZETU
arusha sehemu gani mkuu mwambie aende sunflag au AtoZ kisongo asubuhi sana awezi kukosa kibarua paleNina mdogo wangu ana umri wa miaka 19 yupo tu nyumbani hasomi kwa sababu kaka yake nimetingwa kidogo nikashindwa kumuendeleza. Kama unaitaji kijana wa kazi uniambie ikiwa Arusha itakuwa poa sana ni mwaminifu na ana heshima kwa kila mtu. Anaweza kufanya kazi ya kuuza bidhaa na ana uzoefu wa hiyo kazi kwani alikuwa anakaa dukani kwangu biashara ikaja kuwa mbaya nikafunga. Ila hata kazi nyingine yoyote tu ni poa ila sio za ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri ila kazi za kiwandani na umri alio nao hapana kwa kweliarusha sehemu gani mkuu mwambie aende sunflag au AtoZ kisongo asubuhi sana awezi kukosa kibarua pale
Bruno acha kumlea kihivyo dogo. Miaka 19 sio midogo unavyowaza. Acha kumkumbatia utamuharibu dogo. Muache aende akafanye kazi na wenzake viwandani. Wapo wengi sana wa umri huo au pungufu yake. Muache ajifunze kujitegemea mkuu, kuna leo na keshoAsante kwa ushauri ila kazi za kiwandani na umri alio nao hapana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app