Kijana wa kazi anahitajika

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Habari wakuu...

Mimi ni kijana, age yangu ni about 18~20. Natafuta kazi.

Elimu yangu ni kidato cha nne, nipo Dar es Salaam na ni mwaminifu. Kazi ninayoweza kama kuuza duka, stationery na nyinginezo za kutumia akili.

Nawasilisha, nipo serious
 
Back
Top Bottom