Kijana wa kazi anahitajika

Kijana wa kazi anahitajika

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
11,584
Reaction score
14,669
Habari zenu wakuu poleni na majukumu ya kutafuta rafiki,

Natafuta kijana mwenye uzoefu wa kutengeneza juisi ya miwa.

Location: mbagala
Mshahara: makubaliano
Jinsia: jinsia yoyote

NB: awe anaishi karibu na eneo la kazi .
 
Nakuja nina experience ya miaka mi5
Nataka laki mbili Tu /=.

Kwa wiki
 
Back
Top Bottom