kidu27
Member
- Dec 27, 2015
- 21
- 0
Kwa kijana yeyote wa kiume aliye songea mwenye kuhitaji kazi za kusimamia mashamba na shughuli za bustani anahitajika sifa ni
Awe tayari kuishi mashambani na wafanyakazi
Awe anafanyakazi kwa bidii
Mshahara atalipwa kila baada ya miezi mitatu lakini mahitaji yake ya muhimu yote juu ya mwajiri
Kama upo tayari ni PM
Awe tayari kuishi mashambani na wafanyakazi
Awe anafanyakazi kwa bidii
Mshahara atalipwa kila baada ya miezi mitatu lakini mahitaji yake ya muhimu yote juu ya mwajiri
Kama upo tayari ni PM