Kijana Kijana Kijana

Uwe shoga maana ndio fashion hapo kwa bashite naona!!!!
 
Unatakiwa ujue mitindo huru, usichague njia yakupita hata kama inamatope we pita2
 
1.Uvae kata "K"
2.Unyoe kiduku
3.Ujue kupiga pamba /bling bling na ung'ae
4. Uwe na swaggz
5.Uwe na mabebez wa kushato
6.Uwe na Six packs..pesa sio lazima saanaa uwe Nazi
7.Ujue kusugua "K" mpaka iwe nyekundu
7.Ujue kupiga deki
8.Umiliki simu ya kijanja kama vile Samsung, IPhone n.k
 
Unatakiwa uwe na smart phone... alafu uwe admin wa group lolote la Whatsapp...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…