Kijana Kijana Kijana

Kijana Kijana Kijana

Uwe shoga maana ndio fashion hapo kwa bashite naona!!!!
 
Unatakiwa ujue mitindo huru, usichague njia yakupita hata kama inamatope we pita2
 
1.Uvae kata "K"
2.Unyoe kiduku
3.Ujue kupiga pamba /bling bling na ung'ae
4. Uwe na swaggz
5.Uwe na mabebez wa kushato
6.Uwe na Six packs..pesa sio lazima saanaa uwe Nazi
7.Ujue kusugua "K" mpaka iwe nyekundu
7.Ujue kupiga deki
8.Umiliki simu ya kijanja kama vile Samsung, IPhone n.k
 
Back
Top Bottom