Kijana kama unataka kufanikiwa zaidi walipoishia wazazi au ukoo soma hapa

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
427
Reaction score
576
Kama kijana umezaliwa pambana kufika level ambazo wazazi au ukoo wako ujafika.

Kijana pambana kutafuta mafanikio lakini tumia njia za Mungu ,atakupa uwezo wa kukilinda kile ulichopata, kuna wengine mkipata pesa tu changamoto zinakuja hivyo mnashindwa kutunza na kuwekeza kwenye miradi mingine.

Kijana inabidi ubadili mtazamo wako wa maisha ili kuweza kufanikiwa zaidi ya ukoo au wazazi inabidi uwe na mtazamo mkubwa au chanya ndipo utaanza kuona fursa na kuanza kuchukua hatua, mtazamo wako ndio una amua maisha yako usione kufanikiwa au kuwa juu ni kwa watu wachache kila mtu Mungu kamuumba na potential yake.

Kijana kama ujui cha kufanya ongea na Mungu, omba mwambie Mungu mimi nifanye nini, Mungu atakuonesha kitu cha kufanya ambacho umeletwa duniani kukifanya na hapa ndipo yapo mafanikio.

Kijana epuka watu wasiokusaidia, kukatisha tamaa, ndoto nyingi za vijana zinakufa sababu ya kuwa na watu wengi ambao awakujengi mwisho unapoteza ndoto zako,

Maisha yanaitaji uchaguzi, bwana yesu kristo pia alipo kuwa anafanya injili alichagua watu 12 wa kuwa naye pamoja hii inatufundisha sio kila mtu ni wa kumuweka karibu wengine watakuchelewesha na kukukatisha tamaa.

Kijana kuwa ni mtu wa kutekeleza ukisema naanza kufanya kitu fulani basi unaanza, ukiwa mtu wa hivi ni rahisi kufanikiwa pia kuwa na uvumilivu mafanikio yanaitaji muda hivyo usikate tamaa.

Kijana tafuta mtu sahihi kama ni mke au mme, ili uweze kupiga hatua unahitaji mwenza sahihi , ukiwa na mtu ambaye sio sahihi unakosa utulivu wa akili na amani ya moyo hivyo harakati zako za maisha zitakwama sehemu,

kabla ujao umeomba Mungu? Mungu ndio anajua mtu gani alizaliwa kwa ajili yako, unapokuwa na mtu ambaye sio sahihi mnashare generation trauma inafanya pia kuna level za kimaisha ngumu kufikia

sababu za hizo generation trauma kama umaskini, ujinga n.k, kuna watu ukiwa nao kwenye mahusiano mambo yote yana haribika hivyo kupiga hatua inakuwa ngumu.
 
Amen.
 
Asante kwa andiko zuri, mwenye kusikia na akasikie!!
 
Back
Top Bottom