Kijana anatafuta kazi ya udereva

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,378
Habari zenu?
Kijana wa kiume wa kitanzania mwenye uzoefu wa kuendesha magari makubwa,madogo na magari ya biashara anatafuta kazi ya udereva,makenika na unyoshaji magari.

Ana uzoefu wa miaka kumi na ana leseni halali,baada ya kupata mafunzo ya udereva VETA.

Anapatikana Arusha mjini ila yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote Tanzania.

Mawasiliano: 0652 740314 au 0743706219.

Tumsaidie kijana mwenzetu apate kazi.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom