Kijana anaitaji uhamisho

Kijana anaitaji uhamisho

sulemramba

Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
51
Reaction score
18
Habari ,kijana anatafuta mtu kubadilishana nae kituo cha kazi fani ya MTEKNOLOJIA MSAIDIZI(MAABARA)

Kutoka singida Kwenda Tanga

Kwa mtu alietayal kutokea tanga kuja singida tuwasiliane PM
 
Mbona singida pako vizuri sana au anahitaji kuwa karibu na familia yake?
 
mwambie awatumikie watanzania akiwa huko huko singida
 
Back
Top Bottom