Kijana acha wizi

za mwizi arobaini,zake zimefika
 
Umri huo mzee achana na wizi kabisa haipendezi ebu angalia wajukuu wako wanavyokuangalia wakiwa wamesononeka kwa jinsi ulivyoshikilia hilo bango, Ni aibu 'ACHA WIZI'.
 
Na mwizi wa Cheti a.k.a Bashite afanyiwe vivyo hivyo.
 
Mhu kama watoto hawaoni humu bahati maana wenzao watawananga weee. Natamani maisha yarudi nyuma. Enzi za radio tu basi hakuna simu zaidi ya za kruuukruu unaomba operator, unasubiri saa nzima kupata line. Revers call unasoteshwa we acha tu.
 
Anuani yake itasome:-
Mimi...... Bashite mkazi wa daisalam ni mwizi sugu wa vyeti kutoka koromije....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…