Kihotel/mgahawa kinahitajika haraka katavi

nyundo2017

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
1,437
Reaction score
861
Hi,
Kihotel/mgahawa kinahitajika haraka mpanda,katavi.

Hata mwenye frem inayoweza/zinazoweza kuwa mgahawa/juice place.

Mwenye navyo tuwasiliane kwa pm
Asanteni.
 
daaaahh fursa hyo changamkeni vijana
 
Kuna kambi ya simba kwa ndugu yangu frank[emoji23][emoji23]
 
Kipo kibanda kipo stendi ya mabasi tuwasiliane 0757387887
 
Mji wa katavi ulivo muda ulioutumia kupost hili tangazo tayar ungekuwa ulishazungukia vibanda vyote vya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…