Consultant JF-Expert Member Jun 15, 2008 11,401 20,661 Dec 30, 2019 #21 Kigwangallah kajimix hapo vipi? Kila Waziri akiamua kujichomeka kwenye kila tangazo si itakuwa tafrani? Siku akitumbuliwa nadhani ndio itakuwa nafasi nzuri ya kuboresha hiyo english yenye matege na makengeza
Kigwangallah kajimix hapo vipi? Kila Waziri akiamua kujichomeka kwenye kila tangazo si itakuwa tafrani? Siku akitumbuliwa nadhani ndio itakuwa nafasi nzuri ya kuboresha hiyo english yenye matege na makengeza