voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
Kigwangalla una laana ya yule Twiga uliemgonga kule TarangireNationalPark!
Tangia ile ajali ni kama Dishi lako liliyumba mpaka leo hii.
Na kwa haya unayoyafanya.....
*Kwa kumuandama #Mo-Dewji,kisa alikataa kukukopesha,ili ununuwe Baskeli za kuwahonga wajumbe!
*Kwa upuuzi wako wa kitoto mitandaoni!
*Kwa kuchezea wizara ya Utalii na kina Steve Nyerere!
*Kwa kugombana kila uchao na Makatibu wako wakuu wizarani!
Hatimae ukawekwa pembeni,na katibu mkuu ndie skawa Bosi wako!
*Kwa kuwakejeli wana #Nzega kwamba asiye na ng'ombe hajitambuwi!
*Kwa kumuandama #Bashiru usitarajie kwamba utarudishiwa U-waziri ulioupiteza!
Tunakujua na tunakufahamu!
Ndio maana hata kumtibia baba yako ilibidi ulazimishwe!
Dishi lako #Kigwangalla! Limeyumba tangu ulipoangukiwa na laana ya kumuuwa mnyama Twiga ambae ni nemno ya Taifa!
Ni Rasmi umeanza kufungasha virago Nzega!
Alamsikhi
10101.