tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Ni kuhusu kauli ya ukata. Asema Ukata mpaka Ikulu. Ikiwa ni siku mbili zipite tangu JPM atoe kauli kwenye sherehe za Eid, ya kwamba, wanaolalamika fedha hakuna ni wale waliozoea vya "kona Kona" na dezo. Kigwangalla kaibuka na kusema kwamba "Hata Ikulu ni Ukata Mtupu".
Je, hata magogoni walizoea vya Kona Kona na dezo?
Je hizi sio lugha gongana kama kule mnara wa baberi?
Chanzo: Gazeti la Jambo Leo.
===============================
Je, hata magogoni walizoea vya Kona Kona na dezo?
Je hizi sio lugha gongana kama kule mnara wa baberi?
Chanzo: Gazeti la Jambo Leo.
===============================