πeace:raia wa Manyovu Kigoma tumebarikiwa kuwa na pua ndefu kama walivyo Wamasai na Wairaki wa Manyara lakini kutokana na muonekano wetu tunakamatwa kuwa ni Warundi na wengine Wanyaruanda lakini vijiji vyetu vimekuwepo kabla hata ya uhuru wa Tanganyika na vingine viliitwa Nyabutusi na ndio majina yake halisi na Waha lugha ye2 inaingiliana na Kirundi vilevile na Kinyaruanda kukamata mtu kisa ana pua refu sio sahihi kabisa watu wanaonewa sana Manyovu hususani kijiji cha Kalinzi