Kigogo wa CCM: Lowassa anafanya kampeni

Anajua CHADEMA hawakubaliani na mafisadi. CHADEMA haihitaji makapi ya ccm. Safu ya CHADEMA imepangwa imepangika. Wanachokifanya sasa ni ku re arrange wateuliwa wao ili waendane na mpango wa UKAWA ambao ndio wa kitaifa officially. Lowasa akienda chadema, asithubutu hata kuwaza kuna mtu atamshobokea. Ni fisadi na mtuhumiwa kama mafisadi wengine ambao wanahitaji kujifunza kuishi kwa kutambua utu na haki za Wananchi.


 

uspate shida na wewe kajaribu kutafuta saini kwa style hiyohiyo kama utapata hata watu 10
 
Na bado....Wivu wa huyo kigogo ni nani..!? Ajitokeze hadharani...anaongelea chooni ya nn..!? Huyo si kigogo...ni gogo...ni victim wa Lowassa huyo...Lowassa anampelekesha puta vibaya...na wengine wengiii watakoma...Lowassa political fever inasumbua wengi sana...sbb wanajua akishaika nchi, watu watatoroka...nyie subirini...Na uzuri Lowassa anawajua kila mmoja...sasa hivi wale maadui zake mmoja mmoja kaanza kurudi haraka TeamLowassa kumpooza ili asije akiingia madarakani akaanza kuwaadabisha...!!!

Lowassa kasingiziwa mengi mengi...Ila with very strong heart, people's love and determination anasonga mbele kila siku...!!

Kila siku Lowassa is getting more stronger and popular kwa wananchi wengi...sbb ya chuki kama hizi...!!!
 
Yaani ukitaka kuuza gazeti, au thread yako ichangiwe sana mitandaoni, ANZA NA LOWASSA...ndio utajua huyo bwana anapendwa sana...Sisikii mti yeyote...jamaa kwa sasa ndio muda wake...!!!
 
Wewe Mtoto wa Malecella Lowassa sio kama Baba yako aliyebadili dini ili apate uraisi!!!. Alafu ninawacwac huyu kigogo labda ni Mama yako wa Kambo-Anna au ni Mzeee nini weka bayana Dogo
Wengine tulipitwa na hizi habari, ebu dadavua kidogo ilikuwaje? sasa anaitwa nani? Dunia in vitu hii!
 
uspate shida na wewe kajaribu kutafuta saini kwa style hiyohiyo kama utapata hata watu 10
Atapata, ebu piga hizi hesabu: Wake 4, kila mmoja watoto 3 jumla 12, Tayari kumi wanafika.
 
 
Yaani ukitaka kuuza gazeti, au thread yako ichangiwe sana mitandaoni, ANZA NA LOWASSA...ndio utajua huyo bwana anapendwa sana...Sisikii mti yeyote...jamaa kwa sasa ndio muda wake...!!!

Mbona unatumia nguvu kubwa sana kumtangaza huyo mgonjwa!?! Relax mkuu.
 
Mbona huyo kigogo amemuona lowassa tu! kwani lowassa ni mpinzani ndani ya ccm?au wanamgwaya .km kina Nape
 
tatizo la humu ndan watu wanatoa opinion zao juu watangaza nia hasa lowassa ambazo siyo facts wala siyo sheria, wala maamuz! watanzania weng hawatak kuvuta subira kwan tar 12 mbali jaman? lets wait together!
 
Unaumwa wewe Ngongo!! Lowassa hanamshindani!! na wala hakuna wa kumkata jina
 
Lowassa atawapigisha kwata CCM mpaka watakoma ubishi wenyewe,si walikuwa wanamlealea wenyewe badala ya kumchukulia hatua mapema na Lowassa asipo wapeleka CCM kaburini mwaka huu watakuwa na bahati sana.
 
Jamaa anafisadi kila kitu, mpaka kampeni, duh! Huyu mgombea kweli Nyerere alituonya mtu huyu ni wa kuogopa kama ukoma na hali ndio hii inajidhihirisha
 

Mr Ngogo naona unaota ndoto za mchana, hapo juu majina uliyotaja si yote yatakayokatwa, tulia uone shughuli
 
Mwenzako nimeshaona nimeshatulia na kutulizana wewe bado unasubiria.

Mr Ngogo naona unaota ndoto za mchana, hapo juu majina uliyotaja si yote yatakayokatwa, tulia uone shughuli
 
Yeye acha fkilie watanzania ni kama kujibu maswali ya ese ya somo la histori,uongo mwing vema kibao,mwalim jk alisema ukitaka kuwatawala watu wanyime elimu,lkn sasa kila mtu anaelimu,siyo hayawan wa zaman
 
mmeilea hii kansa , sasa inawatafuna. haitibiki tena. hakuna wa kumzuiani wala kukata jina lake. bora mjiunge naye tu, maana mmeshindwa kumng'oa.

Ni kweli kabisa kazi iachwe watanzania watawaonyesha namna ya kumaliza tatizo,maana tumewapa mamlaka wameshindwa.
 
Mzee Tupatupa, kwa hali ilivyo bado simuoni mtu wa kumzuia Lowassa kwenye hicho chama chenu, mkimnyang'anya tu hiyo nafasi mjue ndio mmepasua chama chenu; huyu mtu kaweka ccm mfukoni mwake, yetu macho ni suala la wakati; sisi mashabiki wa UKAWA tunawaona mnavyo chezeana RAFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…