Kuna habari nilipashwa, kuna kamishna mmoja TRA muda wake uliisha; yeye akajua kama kawa kama dawa wataongeza ungwe ya pili...alipopewa barua aachie ofisi kaomba wampe miezi kadhaa aweke data sawa...miezi imeisha jamaa anaendelea kwenda job
Walichofanya walibadili kitasa...alichokaje....si mnajua mishahara yao ya milioni 15 kuachia ngazi ni ngumu saaana...
Hao wapo kwa watu ambao hawana tija na baada ya kugundua vijana wengi wanapenda hoja zisizo na mashiko kama Bijou afumaniwainashangaza wenye nafasi nafasi nzuri NA KUBWA NDIYO Wenye kung'ang'ania ofisi, mamlaka husika ziko wapi? Kuchukua hatua? Hao wanaojiita OFMA? Wako wapi kufichua ufisadi huu ambao unaota mzizi?
Sijui inakuaje kwa salary hiyo wanakuwa wagumu kuachia kazi wakati wamedumu kazini muda mrefu, tatizo watu wanaingiza hela kibao alafu hana income generating activities, kwa mshahara kama huo kwa mtu mzima anakuwa na ofisi yake nzuri na shughuli kibao za kufanya na kusaini cheque ataendelea kama shida ni madaraka. Wakati mwingine maisha yetu walalahoi yanakuwa kwa style ya "early warning" hivyo mtu unakuta target yake akijenga nyumba yake moja au mbili na kausafiri plus frem ya duka hata kama ataingiza mwekundu rohoni kwatu kama ameingiza 30 millionKuna habari nilipashwa, kuna kamishna mmoja TRA muda wake uliisha; yeye akajua kama kawa kama dawa wataongeza ungwe ya pili...alipopewa barua aachie ofisi kaomba wampe miezi kadhaa aweke data sawa...miezi imeisha jamaa anaendelea kwenda job
Walichofanya walibadili kitasa...alichokaje....si mnajua mishahara yao ya milioni 15 kuachia ngazi ni ngumu saaana...
Inabidi wafanyakazi wa serikalini wapewe mishahara mizuri ili kuwafanya wakistaafu wawe na njia mbadala ya kuishi.Tatizo kubwa linakuwa watu wanakosa zile pesa za rushwa ambazo ndiyo nyingi na sababu siyo zao kihalali zinatumika vibaya.
Sijui inakuaje kwa salary hiyo wanakuwa wagumu kuachia kazi wakati wamedumu kazini muda mrefu, tatizo watu wanaingiza hela kibao alafu hana income generating activities, kwa mshahara kama huo kwa mtu mzima anakuwa na ofisi yake nzuri na shughuli kibao za kufanya na kusaini cheque ataendelea kama shida ni madaraka. Wakati mwingine maisha yetu walalahoi yanakuwa kwa style ya "early warning" hivyo mtu unakuta target yake akijenga nyumba yake moja au mbili na kausafiri plus frem ya duka hata kama ataingiza mwekundu rohoni kwatu kama ameingiza 30 million
Huyo alikuwa naibu kamishna mkuu, anaitwa P. Luoga.
inatakiwa uwe na moyo wa chuma kustaafu kazi tcaa ni mojawapo ya taasisi ya serikali inayolipa vizuri kuliko hata bot jumlisha na safari za nje kila wiki. Dereva tu wa std 7 anapata net laki 9- ceo siyo chini ya ml 10. We utastaafu kweli kwa hiari?
inatakiwa uwe na moyo wa chuma kustaafu kazi tcaa ni mojawapo ya taasisi ya serikali inayolipa vizuri kuliko hata bot jumlisha na safari za nje kila wiki. Dereva tu wa std 7 anapata net laki 9- ceo siyo chini ya ml 10. We utastaafu kweli kwa hiari?
Kung'angania ofisi hakuna uhusiano na mshahara...hao wenye mishahara minono ndio wasiotaka kusahafu; wenzangu na miye kima cha kati na cha chini huwezi kuwa na jeuri ya kuendelea kwenda kazini; nani atakuruhusu???
Angalia makatibu wakuu sijuhi wakurungenzi, sijuhi ma VC wa vyuo, asilimia kubwa wakistaafu wanaongezewa miaka kadhaa as if hakuna wa ku wa replace...
Kwa kweli hii hali ikomeshwe ili tuweze kutengeneza ajira mpya kwa vijana...hakuna kuongezeana muda...ukiona unakaribia 60 get prepared...tena ingekuwa amri yangu hakuna hata kupewa vyeo vy kuteuliwa baada ya kustaafu...tuna tatizo la ajira kwa vijana tuache kubeba wazee....
Kweli mambo huenda yakabadilika, huyu jamaa alikataa kuwaongezea mikataba watumishi wengi kama alikua Clark of works, msemaji wa mamlaka, madereva wawili ila mmoja mahakama ilimrudishaa, IT Manager. Sasa yeye kama aliona mazuri why hataki kuzika a. Na ana kibaraka wake Rube Luhongole alikua akimpotosha mambo mengi nayeye amebskiza miezi michache ya kumaliza Mkataba ingawa anaonekana mzee zaidi.Walipandikiza mbegu za ubaguzi sasa unawatafuna wenyewe
Kama JK alikatalia ikulu 2010, Manongi anakosa gani kukatalia TCAA??? ndo TZ tunavyoishi