Kaka kustaafu kunataka moyo,hasa unapoangalia yale marupurupu,wizi,rushwa kubwa na ndogo,halafu unaingia kijiweni haujui kesho yako,lazima utagoma.Ila mwenye kosa ni yule anayeendelea kumlipa mshahara.
Mkuu hapo atakuja kulia na kusaga meno siku ya siku ikifika!!Kaka kustaafu kunataka moyo,hasa unapoangalia yale marupurupu,wizi,rushwa kubwa na ndogo,halafu unaingia kijiweni haujui kesho yako,lazima utagoma.Ila mwenye kosa ni yule anayeendelea kumlipa mshahara.
Katibu mkuu ni mpare na Manongi ni mpare wanatoka sehemu moja Kazi kwako
MKURUGENZI wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Fadhili Manongi amedaiwa kungangania ofisi, licha ya kukabidhiwa barua ya kustaafu kwa mujibu wa sheria
Taarifa za uhakika ambazo gazeti hili imezipata zinasema kwamba tayari Manongi ana barua ya kustaafu tangu Machi 31, mwaka huu lakini ameendelea kuwamo ofisini.
Akiwa ndani ya ofisi hiyo, Manongi kwa sasa anaratibu safari za kiofisi ambako kwa wiki hii alikuwa Mtwara kabla ya kwenda Gaborone, Botswana. Taarifa zinasema kwamba Gabarone anakwenda kushiriki mkutano wa Wakurugenzi wa Usafiri wa Anga kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo kwa nchi za Kusini mwa Afrika.
Huyu mtu amestaafu, hata kwenye bodi aliulizwa na akajibu atafutwe Katibu Mkuu, Katibu Mkuu akajibu kuwa wamempa barua ya kustaafu na kwamba hana budi kukabidhi ofisi, lakini hajafanya hivyo, alisema mtoa habari.
Gazeti hili lilimtafuta Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka bila mafanikio kwa siku za Jumatatu hadi Jumatano mpaka gazeti hili linakwenda mitamboni.
Lakini lilimpa nafasi Manongi kuzungumzia uwepo wake ofisini ilihali ana barua ya kustaafu mkononi ambako alisema, Uwepo wangu ofisini unajulikana kwa wakubwa, muulize Waziri au Katibu Mkuu.
Kuna habari nilipashwa, kuna kamishna mmoja TRA muda wake uliisha; yeye akajua kama kawa kama dawa wataongeza ungwe ya pili...alipopewa barua aachie ofisi kaomba wampe miezi kadhaa aweke data sawa...miezi imeisha jamaa anaendelea kwenda job
Walichofanya walibadili kitasa...alichokaje....si mnajua mishahara yao ya milioni 15 kuachia ngazi ni ngumu saaana...
Wote wa kaskazini!Katibu mkuu ni mpare na Manongi ni mpare wanatoka sehemu moja Kazi kwako
inashangaza wenye nafasi nafasi nzuri na kubwa ndiyo wenye kung'ang'ania ofisi, mamlaka husika ziko wapi? Kuchukua hatua? Hao wanaojiita ofma? Wako wapi kufichua ufisadi huu ambao unaota mzizi?
Kuna habari nilipashwa, kuna kamishna mmoja TRA muda wake uliisha; yeye akajua kama kawa kama dawa wataongeza ungwe ya pili...alipopewa barua aachie ofisi kaomba wampe miezi kadhaa aweke data sawa...miezi imeisha jamaa anaendelea kwenda job
Walichofanya walibadili kitasa...alichokaje....si mnajua mishahara yao ya milioni 15 kuachia ngazi ni ngumu saaana...
Mkuu hapo atakuja kulia na kusaga meno siku ya siku ikifika!!
Hawa jamaa huwa wanakata hela zote alizolipwa wakati akiwa tayari na barua ya kustaafu! Kuna Afisa mmoja wa kilimo huku kwetu alijiongezea siku kimya kimya akendelea kuvuta posho za safari kama kawaida. TAMISEMI ikagundua kwamba siku zote alizojilipa alikuwa anapaswa kuwa amestaafu, jamaa alitakiwa kurejesha fedha zote alizokuwa amejilipa!! Labda kama hayo yanafanyika huku mashambani tu siyo huko mijini!!
Inabidi wafanyakazi wa serikalini wapewe mishahara mizuri ili kuwafanya wakistaafu wawe na njia mbadala ya kuishi.Tatizo kubwa linakuwa watu wanakosa zile pesa za rushwa ambazo ndiyo nyingi na sababu siyo zao kihalali zinatumika vibaya.
Kuna habari nilipashwa, kuna kamishna mmoja TRA muda wake uliisha; yeye akajua kama kawa kama dawa wataongeza ungwe ya pili...alipopewa barua aachie ofisi kaomba wampe miezi kadhaa aweke data sawa...miezi imeisha jamaa anaendelea kwenda job
Walichofanya walibadili kitasa...alichokaje....si mnajua mishahara yao ya milioni 15 kuachia ngazi ni ngumu saaana...
Ndugu Mishahara Mizuri au wapewe midogo ili wasiistamani wakati wa kuacha? maana naona hapo ni 15Mil au hiyo bado ni midogo?
Bongolala Katibu Mkuu Uchukuzi sio mpare anatoka Tanga.