ILEMI MBEYA KWETU
Member
- Sep 29, 2013
- 30
- 22
You'e damn right!Hongera kwa kumsaidia binti inawezekana umemwokoa katika hatari ya kwenda kujiua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,lakini mtoto wa kiume kuwa shoga nako ni majanga tu.Tuombe uzazi mwema mkuu.Mtoto wa kike kupatia mimba nyumbani ni aibu ya familia nzima
Siyakukothamela Sonini na nini
Mtoto wa kiume tatizo kubwa analoweza kuleta katika familia no ushoga tu? Kuna madawa (hata wa kike), wizi /ujambazi ma hata kila siku kuja kubwagiwa watoto (mama tofauti).Kweli kabisa,lakini mtoto wa kiume kuwa shoga nako ni majanga tu.Tuombe uzazi mwema mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh![emoji16][emoji16][emoji16]mzee mzima unaanza kupeleka mjukuu klinik tena.Anyway hakuna ulezi rahisi.Mtoto wa kiume tatizo kubwa analoweza kuleta katika familia no ushoga tu? Kuna madawa (hata wa kike), wizi /ujambazi ma hata kila siku kuja kubwagiwa watoto (mama tofauti).
Kwa kweli matatizo ya watoto ni tofauti na mengi na hata sijui lipi unaweza kusema lina afadhali ya lingine.
Sent using Jamii Forums mobile app