mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,505
- 138,384
kuna viwanja vinauzwa vimebakia viwanja viwili katika sehemu hiyo.kuna cha sqmt 597 na sqmt 517.kama kawaida viwanja viko surveyed.kutoka kigamboni ferry hadi hapo ni km 25 ni upande wa kulia kwenda kimbiji.na umbali kutoka barabarani kwenda kwenye viwanja hivyo ni mita 100, viwanja viko karibu na apartments za sophia simba, umeme upo karibu.bei kwa sqmt ni sh 9000.karibuni sana