Kigali ipo nyuma ya mchezo huu mchafu?


Duh point yako ya huu uzi mkuu ni ipi hasa

Kutaka kutufahamisha mbinu zao wanazo tumia kupiga picha/video au unajadil hiyo ya picha za utupu
 
Mkuu huko vizuri.
Lakini kuwa mwangalifu.
 
Huyu naye akanyoa mivuzii kwanza ndo agombee urais..khaaa mivuzi mingi sana bwana
 
Wanyarwanda wamejaa hadi local govt siku hizi, wengine wafamasia, wengine wauguzi ili mradi tu nchi hii sijui nani ana uchungu nayo!!!
Kuna wanyarwanda kibao walipewa uraia wa nchi hii miaka ya 1970's so ni raia kamili na wana haki zote kama watanzania japo utawatambua kwa pua zao ndefu
 
Haijulikani umeanzia wapi na umeishia wapi
lengo nini!!
Umefulia vibaya du!!
 
tuone picha za utupu hizo labda twaweza tangaza ndoa.
 
Haijulikani umeanzia wapi na umeishia wapi
lengo nini!!
Umefulia vibaya du!!
Kwa upungufu wako wa akili ndio maana hujui kilicho andikwa au tuseme una mtindio wa kuelewa
 
Picha zimepigwa na boyfriend wa Diane na siyo spy camera. Pozi amejiandaa kabisa kupigwa picha na anaitazama camera.
 
Ma neno mazito sana .lakini ni ukweli mtupu himaya ya hima au hermits wa nataka kutawala east and center africa that's onky a start
 


angalieni hizi picha ambazo jasusi wetu yeriko anadai eti zimepigwa na spy agent wa rwanda!
 
Kagame anatumia mbinu ya kipumbavu sana.bora angempoteza kama hataki apingwe hii iko cheap sana labda kama wanyarwanda ni makondoo
 
Mkuu una undugu na Deo Kisandu..naona mada zenu zinafanana. Any way pimbi kama Kagame hatusumbui labda kwa huyu Magu nina wasiwasi nae. JK alimdhibiti huku anamchekea na tabasamu kubwa akaleta vitisho kama vile vya Lowasa na Kingunge at the end of the day M23 wake wakafumuliwa marinda.
Never give him the credit he does n't deserve.
 
Deo Kisandu ni nani? sina undugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…