Misaada tulishasema hatuitaki tena! Miasaada inayokuja na nyodo? No thanks!
Hivyo vyote vitafanywa na investors najuwa bongo mtaona ni miujiza ya nabii issa lakini vinawezekana kama ukiwatengenezea mazingira bora, wenyewe watakuja, kwani nani hataki kuzarisha pesa?
wakati sisi tunajitapa tuna mafuta na gesi na rasilimali kibao,wenye akili wanaplan kusonga mbele,tutawadharau kwa sasa lakini mwishowe tutawapigia salut.big up rwanda kwa kuwa na mipango mizuri kama hiyo,wakati sisi tumekalia michakato na upembuzi yakinifu