Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,361
- 2,377
Mahakama nchini afrika ya kusini imeamuru Raisi Zuma kurejesha pesa alizotumia kukarabati mji wake zipatazo dollar milioni 25
Akihutubia taifa jana alikiri kuwa atatimiza amri ya mahakama kwa utiifu
Nini maana yake?
Mwizi kukiri kosa na kurudisha kidhibiti huondoa adhabu?
Je heshima yake ndani na nje ya south africa bado ni ileile?
Wale vijana machachari akina Malema ndio wataishia hapo?
Hebu tusubiri
Ndio utamu wa katiba nzuri jambo ambalo hapa kwetu linapingwa hadi watu wanatoka mishipa ya shingo!!