(Surah Aal-Imran 3:185)"Kila nafsi itaonja mauti..."
(Surah Al-Mulk 67:2)"Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni, ni nani katika nyinyi aliye mbora wa vitendo."
(Surah An-Nisa 4:78)"Mahali popote mlipo, mauti yatakufikieni, ijapokuwa mko katika ngome zilizo imara..."
(Surah Al-Ankabut 29:64)"Na hakika nyumba ya Akhera bila ya shaka ndiyo maisha hasa – laiti wangekuwa wanajua."
(Surah As-Sajda 32:11)"Sema: Malaika wa mauti atakayekufeni, atakufeni; kisha mtarudishwa kwa Mola wenu Mlezi."
(Surah An-Nahl 16:61)"...Basi wanapowadia muda wao hawataweza kuchelewa hata saa moja, wala hawatatangulia."
Sasa kwanini mtu akifa tu baada ya robo saa mnakua mshamfukia pengine anakua kazimia kwanini msisubiri kwanza?Kimya?
Ushawahi kusikia hivyo wapi? Sisi waislam akifa saa 2 asubuhi basi baada ya Alasiri tunaenda kumsitiri na sio kumfukia. Wengine baada ya Adhuhuri tunaenda kumsiri. Hatujazika mtu mzima. Au dini nyengine ndio maana wanakaa siku 3 na maiti kusubiri kufufuka?Sasa kwanini mtu akifa tu baada ya robo saa mnakua mshamfukia pengine anakua kazimia kwanini msisubiri kwanza?
Hizo ni imani tu hakuna uthibitisho wowoteAliyeonja Mauti kwa niaba ya Wanadamu ni Yesu Kristo pekee yake!
(Waebrania2:9)
Yeye alikufa mara moja na akafufuka mara moja na hawezi kufa tena milele yote.
Wengine Wote Wakifa hawafufuki tena mpaka siku ya Kiyama wakingoja Hukumu ya Mauti au Uzima wa Milele,(Yohana5:26-29)
Kwa lugha nyepesi kuna tofauti ya Kuonja na Kunywa kabisa.
Hamna nyinyi akianguka saa 2 asubuhi mazishi yanakua saa 3 tena kwa kukurupushana ukichelewa unakuta watu washamfukia mtu na wamekaa juu ya kaburi kulinda asije mtu akaja kufukua, kwaanini mnafanya hivyo? Hamjui km kuna wengine mnawazika wakiwa bado wapo hai?Ushawahi kusikia hivyo wapi? Sisi waislam akifa saa 2 asubuhi basi baada ya Alasiri tunaenda kumsitiri na sio kumfukia. Wengine baada ya Adhuhuri tunaenda kumsiri. Hatujazika mtu mzima. Au dini nyengine ndio maana wanakaa siku 3 na maiti kusubiri kufufuka?
Tunaamini kilichoandikwa kwenye Vitabu vya Mungu.Vitabu vimeweka Ushahidi wa matukio yote yaliyotokea kwenye historia ya mwanadamu,na mpaka leo watu wanakufa.Hizo ni imani tu hakuna uthibitisho wowote
Mungu wenyewe hathibitiki uwepo wake sembuse maneno ya kwenye kitabu?Tunaamini kilichoandikwa kwenye Vitabu vya Mungu.Vitabu vimeweka Ushahidi wa matukio yote yaliyotokea kwenye historia ya mwanadamu,na mpaka leo wanakufa.
Wewe ukifa saa 4 asubuhi kisha tukikufukia saa 5 asubuhi hio hio yaan limepita saa 1 tu la kukuchimbia kaburi tukakufukie chini utakubari yaan haupewi muda hata wa kupumua utakubari wewe?Ushawahi kusikia hivyo wapi? Sisi waislam akifa saa 2 asubuhi basi baada ya Alasiri tunaenda kumsitiri na sio kumfukia. Wengine baada ya Adhuhuri tunaenda kumsiri. Hatujazika mtu mzima. Au dini nyengine ndio maana wanakaa siku 3 na maiti kusubiri kufufuka?