Comred Mbwana Allyamtu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 362
- 906
KIFO NA KITENDAWILI CHAKE.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA).
Wednesday-02/03/2022
Kwa Claraa, Marangu Mtoni Kilimanjaro
Ni kweli kabisa kuwa bado kifo hakizoeleki lakini ndiyo kitu cha uhakika ambacho kila mwanadamu atakumbana nacho wakati wowote.
Huu ukweli umenifanya nitafakari sana kuhusu kifo, imani zote duniani pamoja na kupishana kwenye karibu kila kitu lakini wote wanakubaliana kuwa kifo ndiyo kitu cha uhakika ambacho kila mwanadamu atakumbana nacho, hiyo haina ubishi.
Hata uwe nani kifo kitakufikia tu, ndio maana kitabu cha Bibilia kwenye Mathayo 25:13 inasema "Basi kesheni, kwa sababu hamuijui siku wala saa", mantiki ya andiko hili ni kuonesha kuwa kifo ni fumbo hakuna aijuae siku wala Saa na ni kwa nani.
Pia kwenye Quran, Allah anasema kwenye Sura ya 3 Aya ya 185, kuwa "Kila nafsi itaonja mauti na bila shaka mtapewa ujira wenu kamili siku ya kiyama, Na atakaye epushwa na moto na akatiwa peponi basi huyo amefuzu, Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu".
Hii yote inaonesha kuwa kwa hakika kifo yafaa kuwa ni mawaidha kwa mwenye yakini (akili timamu).
Tukiachana na kifo chenyewe, kama jambo linalotamatisha maisha ya kiumbe hai, basi leo tutazungumzia jambo moja la kisayansi zaidi katika kifo cha mwanadamu, wengi hawalijadili hili, ila kuna kitu kipya kwenye kifo.
Kwamba hata mfu huishi kwa SAA 72 mbele kabla ya uhai kutamatishwa, yani mtu akifa bado ataendelea kuishi kwa SAA 72, hii ni kisayansi na kidini.
Kule Lhasa yani Tibet, mafarisayo wa dini ya Lama (yani madala) mtu akifa umsomea mashairi ya kiimani na familia uzungumza nae kwa siku tatu.
Hii ni kwamba mtu akifa huendelea kuishi, yani bado anapokea kumbukumbu za yaliyofanyika kabla ya kifo chake.
Kwenye imani ya uislam huamini kuwa mfu ujutia mabaya yake au ufurahia mazuri yake baada ya kufa masaa machache.
Sasa nataka nikuthibitishie hili kisayansi....
Najua utastajabika kidogo kuona mwanahistoria kuanza kuicharanga sayansi.
Iko hivi.......
Katika mwili wa mwanadamu "Ubongo" ndio kiungo cha mwisho kufa baada ya Moyo kusimama, najua utashangaa hii kitu, ok ni kwamba uchukua masaa 72 (siku tatu) ubongo kuacha kurecord kumbukumbu za maisha ya mwili wa mfu.
Hapa nataka unielewe hivi....
Hii ni sayansi pia imethibitishwa na vitabu vya dini vyote, mfano katika sura ya 23 aya ya 12-14, Qur’an imeeleza hatua za maumbile ya mwanadamu kuanzia uumbaji mpaka kifo.
Utafiti uliofanywa na Dr Keith Moore, ambaye ni Bingwa wa masuala ya hatua za Ukuaji wa Mwanadamu na kifo kutoka huko nchini Canada aliwahi kunukuliwa akisema kwamba "Ubongo ndio kiungo cha mwisho kwa mwanadamu kusimama kufanya kazi baada ya umauti kumkuta binadamu" (Keith L. Moore and Abdul-Majid A. Zindani, The Developing Human with Islamic Edition).
Hivyo basi.....
Hii ipo wazi, wala haina ubishi, rejea tafiti ya hivi karibu iliyofanywa na Uingereza kupitia chuo kikuu cha London.
Sasa maswali ya kujiuliza hapa Je ubongo ufanyaje record za kumbukumbu baada ya kifo cha mtu (moyo unaposimama- BMR stopping).
Swali la kujiuliza zaidi je matukio yapi yanayo recordiwa ni ya ndoto nzuri au kuna ndoto mbaya, au visa vya maisha ya mfu?
Kwa mujibu wa Biology au science viumbe, ni kwamba kuna characteristics yani sifa za kuitwa kiumbe hai, kimsingi sifa hizo zipo 7.
Lakini mwisho wa kukoma kwa hizi sifa Ni kifo yani Death/ umauti kwa lugha nyingine tunaweza kusema mwisho wa uhai.
Process za umauti (kifo) kwa mujibu wa sayansi ya utabibu zimetamkwa kwamba pale moyo unaposimama kufanya kazi yake katika mwili milele kwa njia ya kawaida upelekea kifo kwa viungo vingine.
Kumbuka......
Maisha ya kiumbe hai uanzia katika cell yani "chembe hai" Kisha tissues (muunganiko wa chembe hai nyingi) alafu ndio baadae organs alafu ndio kiumbe hai.
Moyo ni organ muhimu sana ya uhai, taarifa zote muhimu za mwili usafiri kupitia damu yenye joto stahiki lakini hii ni kwa binadamu na wanyama tu.
Sasa Moyo unaposimama kufanya kazi maana yake damu huacha kutiririka kwenda kwenye misuli ya mwili kitendo hiki kitabibu huitwa "Pallor mortis" upelekea misuli ya mwili kuacha kufanya kazi hii tunaita flaccidity conditions.
Lakini kwa kuwa ubongo upo karibu na ulipo moyo pia damu nyingi uenda zaidi katika ubongo ambao ndio injini ya mwili katika kufanya maamuzi na kudhibiti mwenyendo wa mwili, hivyo Kuna damu itabaki katika misuli ya ubongo.
Hivyo joto la mwili huanza kushuka kutoka 98.6F / 37°C kwenda chini kila baada ya saa, hali hii uanzaa kudrop kwa 2°C the 1°C Hali hii upelekea mabadiliko ya kemikali katika mwili kutokana na mvutano wa Hali ya hewa ambayo kitaalamu huitwa "livor mortis".
Ikifikia hata hii mwili uanza kukakamaa kutokana na cell kureact mwilini hii kitabibu uitwa "Rigid mortis" ambapo kiini cheusi cha jicho uelekea juu, Kuna Mambo ya kiimani hapa kwa Mujibu wa watu wa Imani ambao wanadai roho inapotoka macho uifuatilia kwenda katika utosi wa ubongo hivyo kiini cheusi uitazama ikiondoka, nazani wengi mmeiskia hii kauli, hii ndio hiyo kitaalamu huitwa "Rigid mortis".
Sasa hizi hatua nilizozitaja hapo juu utokea kuanzia saa 1 baada ya moyo kusimama kufanya kazi yake mpaka masaa 48 mbele.
Lakini kipindi hicho kumbuka ubongo bado unaendelea kufanya kazi Kama kawaida kwa maana damu ipo katika ubongo ambayo tayari imebeba taarifa za siku 40 zilizopita.
Sasa baada ya hayo masaa 72 ubongo usimama kufanya kazi maana mawasiliano katika mwili yanakuwa tayari yameshaanza kusimama na kuharibika yani mwili umeshaanza kuharibika kutokana na damu kuganda katika misuli ya mwili.
Hivyo damu iliyopo katika ubongo itashuka kutoka katika ubongo (sehemu ya Juu ya mwili) kuelekea katika macho na pua na kuanza kuvuja.
Huu ndio mchakato wa kifo kwa kiumbe hai aina ya binadamu na wanyama, ndio maana dini ya Baniani huko India hawali nyama kwa kuamini kuwa damu utembea na taarifa za kiumbe huyo.
Sasa basi.....
Huu ndio mchakato mzima wa kifo kumfikia mwanadamu au Death au mwisho wa uhai kukamilika, hii ni kwa binadamu na wanyama tu.
Kwasababu hili ndio maana wanasayansi wameweza kutafiti kiwango cha kumbukumbu zinazobebwa na ubongo (damu inayobaki katika ubongo) baada ya kufa (moyo kusimama kazi zake katika hayo masaa 72).
Hicho ndio kifo, na hiyo ndio kitendawili cha ubongo ambacho ni fumbo kwa binadamu utukufu kwa Mungu na maajabu ya sayansi.
Kwa kupata makala Zaidi wasiliana na Mimi WhatsApp 0679555526 uungwe group la Maktaba Kuu kwa gharama ya Tsh 3000/=.

Ukinakili kazi zangu kumbuka kufanya acknowledgment.
Wako Mjoli wa Historia na diplomasia ya ulimwengu.
Ndimi: Comred Mbwana Allyamtu
Copyrights of this article reserved
written by Comred Mbwana Allyamtu
•Napatika Kwa mawasliano
Comred Mbwana Allyamtu
Kwa Tanzania
+255679555526 (WhatsApp).
+255765026057.
Email- mbwanaallyamtu990@gmail.com
Copyright 2022, All Rights Reserved.
Maktaba Kuu.

Wako Mjoli wa Historia na diplomasia ya ulimwengu.Ndimi: Comred Mbwana Allyamtu
Copyrights of this article reserved
written by Comred Mbwana Allyamtu•Napatika Kwa mawasliano
Comred Mbwana AllyamtuKwa Tanzania
+255679555526 (WhatsApp).
+255765026057.
Email- mbwanaallyamtu990@gmail.com
Copyright 2022, All Rights Reserved.
Maktaba Kuu.