Nazijua basi mpendwa?
Mie nikijitahidi sana...Upepo beach, Kidimbwi nimestaafu ..samaki samaki na vichochoro vidogo vidogo tu kama Velisa..boardroom nk nkπ π
Acha kabisa ila bwana bwana kuywa pombe ya million kumi pata unga first grade lakini mwisho wa siku utaishia kwenye mbususu tuu. Hakuna starehe duniani isiyo ishia na kugegegeda mbususu
Hahaha 1m ni kubwa mno kwa wakati flani lkn kuna majira 1m ni ndogo mno.
Hii inategemea majira yako uliyo nayo.
Pesa iko kama majira.
Kuna wakati ukame na kuna wakati ni masika yako.
Na bado Majuzi Kuna wabongo walifurahia sana Ada ya shule za serikali za form 5&6 kufutwa, na ada yenyewe Ni Tsh.70,000 kwa mwaka(Yaani elfu sabini tu).
Hahaha 1m ni kubwa mno kwa wakati flani lkn kuna majira 1m ni ndogo mno.
Hii inategemea majira yako uliyo nayo.
Pesa iko kama majira.
Kuna wakati ukame na kuna wakati ni masika yako.
Kuna tajiria mmoja Arusha pale anapesa pale anauza mifuko na kuvua hotel kibao mjini pale sas Kuna siku namkuta aanpiaga zake bia za castle lager bila kujali. Na mm aaknimbia niagize cjochote koz namfahamu ndio nikaagiza Kilimanjaro. Lager kubwa kwa kweli Ni mtu mwenye peaa zake sikutegemeaa kumkuta. Pale yule mzee namfahamu San kwa kuwani ndugu na mam angu