Kifo cha CCM hichi hapa

jino1

Senior Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
100
Reaction score
29
Wote walio chukua fomu na kutangaza nia ya kugombea urais niwengi sana na bado wanaongezeka, haijawai kutokea popote duniani ndani ya chama kimoja watangazania wakawa wengi kiasi hichi.

Labda tutasema demekrasia imekua ndani ya ccm.

Lakini hakuna mgombea hata mmjoja ambaye katangaza sera zake bila kumtuhumu mwingine .

Mfano. Mwinzi ni mwizi tu.
Kakaa madarakani muda mrefu
Mimi nikieguliwa nakua timu...
Mimi ndio niko serekalini
Tunataka ccm yetu nk

Je!! Nini madhara ya chama hichi endapo huyo watakaye mpitisha alimtusi mwenzake waziwazi?
Je! Akienguliwa yule mwenye mafuriko ? Kweli ccm kifo cha mende kabla hata jogo halijawika
 
Huu ndio mwisho wa ccm kusikika ktk rubaa za siasa hapa tanzania
 
Ccm tunaipeleka kwenye jumba la makumbusho ifikapo octoba
So vizazi vijavyo vitakuwa vinasimuliwa tu kama Kanu ya kenya
 
Ccm tunaipeleka kwenye jumba la makumbusho ifikapo octoba
So vizazi vijavyo vitakuwa vinasimuliwa tu kama Kanu ya kenya

...Teh Teh Teh Teh Teh Du Mkuu Nimecheka Saaaanaaa, Yaani CCM iwekwe jumba la makumbusho!?
 
kibaka lowasa ndio atawaua ccm.Kuiba anataka na uraisi anataka na ccm haimtaki fisadi gamba gumu lowasa.Mwaka wa Shetani
 
Do u have any evidence?dont just write cause u can,mh lowassa ameiba wapi,nn,lini?acheni kufuata mkumbo wa wazushi.
 
Inabd nicheke tu aisee maana sioni umuhimu wa huu uzi kubaki humu .... Mods toeni huu uchafu
 
CCM haiwezi kung'oka kwa udhaifu wake, itang'oka kwa Uimara wa Wapinzani wake, Mf CCM mara zote 'imetangazwa 'mshindi Znz sio kwa sababu ya Uimara wake bali kwa sababu ya udhaifu wa kimkakati wa wapinzani wake. CCM 2010 haikushinda kwa Uimara au udhaifu wake bali kwa Udhaifu wa Wapinzani. Kama kweli inahitajika kuing'oa CCM inaweza kung'oka hata bila ya kuwa na mpasuko au Mgawanyiko, Wa Tanzania wanahitaji mtu wa kuwasaidia kuitoa CCM.Ukawa ikijipanga inaweza kuitoa CCM hata kama wote watazika Tofauti zao na Kuwa Ccm moja
 
Do u have any evidence?dont just write cause u can,mh lowassa ameiba wapi,nn,lini?acheni kufuata mkumbo wa wazushi.

kwa nini alijiuzuru sasa??,au ndo unaleta maneno yenu kuwa alisitili mkubwa wake na serekali,anaye mficha mwizi naye mwizi tu.
 
well said
 
Na mimi nasema wafe tu hakuna namna,na vile hawajui kujenga hoja sipati picha wakiwa chama pinzani yataburuzwa
 
Mkuu usidhani unaongea na Bavicha ndiyo unaweza kuwaburuza kama mbuzi.

Angalia hii list waweka nia Marekani.


OTHER DEMOCRATS:Brandon Armstrong (South Carolina)Warren Ashe (Florida)Howell Astor (North Carolina)-Edie Atkinson-Bukewihge (California)James Bell (Ohio)-John Blyth (Illinois)Morrison Bonpasse (Maine)Meridi Richardson Bosley (Arizona)Jeff Boss (New Jersey)-Philip Bralich (California)-Harry Braun (Georgia)-Arthur Brooks Jr. (Texas)President Emperor Caesar (Florida)-Andy Caffrey (California)Willie Carter (Texas)Brittany Clark (California)Richard Coleman (Florida)-Kristi Dutton (Arizona)-Larry Ealy (Ohio)Ronald Emrit (Nevada)-Nicholas Erwin (North Carolina)-John Forsyth (Maine)-Susan Gelber Ott (Virginia)-Gabriel Gomez (Georgia)-Christin Noel Griskie (Florida)-Gerald Hankins (Pennsylvania)-Charles Hodge (California)-Larry E. Johnson (Colorado)Gayle Jones-Taylor (California)-Glenn Kaminsky (California)Mohammed Keita (New York)-Lloyd Kelso (North Carolina)-Jonathan Lavigne (West Virginia)-James "Titus The Great" Law ( California)Matthew Linder (California)-Ryan Lipner (Florida)-L.R. "Skip" Maul Jr. (Arizona)-Limberbutt McCubbins (Kentucky)-Michael McMenemy (Pennsylvania)-Lee Mercer Jr. (Tennessee)Daniel "Tool" Michaels (Florida)-Loretta "Leah Lax" Miller (Pennsylvania)-David Mills (West Virginia)-Rome Murphy II (New Jersey)-James Ogle III (California)Daniel Owens (Oregon)-Harry Pavilack (South Carolina)-Margie Penn (Tennessee)-Mary Aku Quartey (Maryland)-John Raffone (Florida)-Lee Rhodes (New York)Doug Schreffler (California)-Will Schroeder (Illinois)-Angelo Scrigna (Hawaii)-Jerome Singleton Jr. (Louisiana)-Nicholas Sopkovich (California)Michael Steinberg (Florida)Ray Uhric (Pennsylvania)John Walsh III (Pennsylvania)Richard Weil (Colorado)Robby Wells (North Carolina)Elaine Williams (Florida)Willie Wilson (Illinois)Jeffrey Windett (West Virginia)-Brad Winslow (California)-Thomas Winterbottom (Pennsylvania)John Worldpeace (New Mexico).

Chama kingine.


OTHER REPUBLICANS😛ogo Mochello Allen-Reese (Texas)John Anderson Jr. (California)-Skip Andrews (Kansas)Ray Antley Jr. (North Carolina)-George Bailey Jr. (Mississippi)Michael Baldwin (Missouri)-Danielle Berhane (Arizona)-Michael Bickelmeyer (Ohio)-Virgil Bierschwale (Texas)John Bizga (New Jersey)-Tony Bonificia Jr. (New York)-Kerry Bowers (Nevada)Dominique Brown (Pennsylvania)George Brucato (Nevada)-Gary Caissie (Oklahoma)-Francis Castleberry (Florida)Dale Christensen (Missouri)-Brian Ari Cole (Pennsylvania)-Scott Cole (North Carolina)Melody Crombie (Maryland)-Ezekiel George Crotzer (Michigan)Brooks Cullison (Illinois)Tim Day (Texas)-Paul DeBow (Louisiana)-Paul Delong (Pennsylvania)-Mike Diggs (Arkansas)Kenneth Donaldson (Texas)-Patrick Drake (Georgia)-Wanda Duckwald (Oklahoma)-Douglas Duke (Alabama)-Ronald Duke (Alabama)-John Dummett Jr. (California)Nicholas Evans (Oklahoma)-Stuart Farber (Florida)Jack Fellure (West Virginia)Bruce Gidner (Michigan)-Jim Hayden (Tennessee)Eugene Hunt Jr. (Michigan)-Justin Hyde (California)-Kins Jeroboan (New York)Roger Jewell (Arizona)D. Royce Jones (Texas)Tyrone Julius (District of Columbia)-Brenda Justice (New York)-Tim Kalemkarian (California)Marc Keller (Oregon)-Michael Kinlaw (Colorado)-John Lee (Texas)-Jerry Leonard (North Carolina)-Renee Loetscher (Florida)-Aurora Lopez (Washington)-Bartholomew James Lower (Michigan)-Dennis Michael Lynch (New York)Joan Malone (District of Columbia)Barbara Mae Markovich (Montana)-Mike Martisko (Pennsylvania)Mickey Meade (California)-Raymond Miller (Idaho)Tiffani Mims (Texas)James Mitchell Jr. (Illinois)Timothy Moore (Washington)K. Ross Newland (Illinois)Scot Olewine (Puerto Rico)Richard Peter (Texas)-Michael Petyo (Indiana)Deshon Porter (Illinois)Kenny Rodeo (Colorado)-Jim Rundberg (Colorado)Brian Russell (Florida)-Douglas Sabbag (Florida)-Ole Savior (Minnesota)-Larry Scarborough (California)-Jefferson Sherman (Maryland)Mark Sleggs (New York)-Jeffrey Smith (Florida)-Silvia Stagg (New York)Shawna Sterling (Kentucky)Joseph Stetson (South Carolina)-Sherlene Stevens (District of Columbia)Rickey "Joe" Story (Florida)Michael Szczepanski New York)-Dwayne Tomlinson (Florida)Vern Wuensche (Texas)-Kaye Wyman (North Carolina)
 
Ritz

Nitajie mgombea mjoja kutoka chama kimoja wapo aliyekua anakashfa hata ya kugonga mbuzi?

Mkuu kama kama wewe ni balozi wanyumba kumu. Basi ujue tunaposema ccm imesha potenza huimara wake ujue tunamaanisha.

Acha tabia za kugugo mkuu .
 
Last edited by a moderator:
Nitajie mgombea mjoja kutoka chama kimoja wapo aliyekua anakashfa hata ya kugonga mbuzi?

Mkuu kama kama wewe ni balozi wanyumba kumu. Basi ujue tunaposema ccm imesha potenza huimara wake ujue tunamaanisha.

Acha tabia za kugugo mkuu .
Kamanda mmebadili tena mada? Mwenzio kasema hivi...

Wote walio chukua fomu na kutangaza nia ya kugombea urais niwengi sana na bado wanaongezeka, haijawai kutokea popote duniani ndani ya chama kimoja.

Mimi ndiyo nikamuwekea hiyo orodha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…