Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,576 Reaction score 3,001 Mar 1, 2026 #1 Habari ya jumapili Kifo cha huyu kiongozi ndio anguko la Iran. Je, ina maana hawana mfumo mzuri sababu tumeona wakiuwa viongozi wakuu wa kijeshi lakini anatafutwa mwingine ana Cover nafasi yake mashambulizi yanaendelea
Habari ya jumapili Kifo cha huyu kiongozi ndio anguko la Iran. Je, ina maana hawana mfumo mzuri sababu tumeona wakiuwa viongozi wakuu wa kijeshi lakini anatafutwa mwingine ana Cover nafasi yake mashambulizi yanaendelea
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,226 Reaction score 39,713 Mar 1, 2026 #2 Wabillah Taufiq