KIFO AU MAGONJWA

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Mnao endelea kula nyama mtakufa" msipo kufa mnamiezi michache mbele zenu mtakuwa wagonjwa, imesibitishwa kweli
 
Hivi hizi nyama zilikuwepo toka zamani au hizi za sasa ndizo zenye sumu?

Cc Wamasai na jamii nyingine za wafugaji.
 
Ila si kuna taarifa za kitaalam kwamba mtu ale nyama kwa week isizidi 1KG?

Au walitudanganya!!?Kama ni uwongo basi haitaniacha lazima itapita na mimi maana navyopenda mishkaki na vyapati asubuhi sijui kama nitapona.
 
tuanze kula nyama ya mtoa mada ili tuboreshe afya zetu
 
kwa hiyo waliotufundisha nyama ina protein hawakuwa wanajua au....mambo mengine ukiwa na akili ndogo mapokeo yake ndio haya kusema kifo...hakuna kisicho na madhara kikitumika vibaya au kukilo kiwango..kula nyama sio kufa..kajipange upya
 
ACHENI KULA NYAMA NG'OMBE WA SASA MIEZI SITA TAYARI YUPO DUKANI KWA KULIWA NYAMA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…