Kifaa cha dignosisi machine (automotive dignosis terminal kinahitajika)

Godface

JF-Expert Member
Mar 4, 2020
211
559
Wakuu habari naomba msaada kwa anayejua kifaa hiki wapi KIinauzwa nitashukuru sana nimekwama kufanya mishe za dignosis kwenye machine yangu ya LAUNCHER

DBS SCAR 5
MODEL DS 201
Nahitaji kiwe volt 12-24
Kwa anayejua duka na bei wanayouza naomba anijuze.

IMG-20210505-WA0002.jpg
 
Tablet yake ninayo kimeungua hicho kifaa tu ndio nakihitaji sana km unacho tufanye biashara
 
Place order yako hapa haraka kwa kutumia kadi yako ya benki.

Wakuu habari naomba msaada kwa anayejua kifaa hiki wapi KIinauzwa nitashukuru sana nimekwama kufanya mishe za dignosis kwenye machine yangu ya LAUNCHER

DBS SCAR 5
MODEL DS 201
Nahitaji kiwe volt 12-24
Kwa anayejua duka na bei wanayouza naomba anijuze.

View attachment 1774401

Mwanzo sikuwa nmekuelewa mkuu.

Labda naomba unijibu maswali haya.

Hiyo picha iliyoweka hapo ndio adapter yake ya mwanzo ambayo unasema imepotea?

Kama jibu ni hapana Then vitahitajika vitu hivi👇

1. Serial Number ya Device yako (S/N) iliyopotea. Kuna namna ya kuipata kwenye mashine.

2. Username yako au email uliyojiregister Launch.

3. Picha mbili za mashine yako nyuma na mbele.

4. Confirmation ya serial number kama inafanana kwenye paired device za bluetooth na unapoconnect gari.

Hizo info ni kuconfirm kama device yako inaweza kupatikana china au lah maana ndio mahali ambako unaweza kupata unafuu wa bei.

Kinyume cha hapo kuipata kwa mzungu si chini ya 1.6m. Maana ikitoka kwa mzungu itakuja kwa ndege na watu wa Customs wakudandie.

Kwa kifupi mashine ya launch ukipoteza adapter au tablet then ukawa unataka kununua nyingine procedures ni nyingi.

Is not a matter of kununua na kutumia. Utajilaumu bure hela yako.
 
Mwanzo sikuwa nmekuelewa mkuu.

Labda naomba unijibu maswali haya.

Hiyo picha iliyoweka hapo ndio adapter yake ya mwanzo ambayo unasema imepotea?

Kama jibu ni hapana Then vitahitajika vitu hivi

1. Serial Number ya Device yako (S/N) iliyopotea. Kuna namna ya kuipata kwenye mashine.

2. Username yako au email uliyojiregister Launch.

3. Picha mbili za mashine yako nyuma na mbele.

4. Confirmation ya serial number kama inafanana kwenye paired device za bluetooth na unapoconnect gari.

Hizo info ni kuconfirm kama device yako inaweza kupatikana china au lah maana ndio mahali ambako unaweza kupata unafuu wa bei.

Kinyume cha hapo kuipata kwa mzungu si chini ya 1.6m. Maana ikitoka kwa mzungu itakuja kwa ndege na watu wa Customs wakudandie.

Kwa kifupi mashine ya launch ukipoteza adapter au tablet then ukawa unataka kununua nyingine procedures ni nyingi.

Is not a matter of kununua na kutumia. Utajilaumu bure hela yako.
Mashine ni hiyo
IMG-20210506-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom