Wakuu nimetafakali sana nikagundua lazma CCM iwepo na iwe imala itasaidia kupatia viongoz wa nchi Imala..
Tukiwa na CCM imala na upinzani imala nchi itaenda. Kwa hali iliyokuwepo hapo nyuma bila upinzani imala leo hii tusingekuwa na Ngosha.
Kwangu upinzani na CCM waendelee kuwepo, sasa tunahitaji chama kimoja imala chenye nguvu sawa na CCM
Wakenya wanahangaika sana kutokuwepo KANU..twende mbele na nyuma vyama vikongwe vina umhimu wake.