Kidume avunje tanesko ubungo.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
Nimekuwa nikifuatilia sana mambo yanavyoenda ndani ya serikali na kujaribu kufikiria ni nini kitampata magufuli endapo atathubutu kulivunja jengo la tanesko pale ubungo.
najiuliza au wanataka mwenyewe afe ndo wajifanye sheria inachukua mkondo?
hatukatai limejengwa kinyume na sheria lakini wakati wanampa vibali walikuwa hawaoni?
mimi nawaomba walivunje sasa kwani wataiokoa tanesko na mzigo batili wa kodi ya jengo kwani najua kwa uchakachuaji wa sasa kodi ya mwaka mmoja wanaweza kujenga jengo lao.
na namwahidi magufuli akilivunja kwa sasa anipatie kadi ya ccm.
 
..Mheshimiwa Spika, hata Jengo la Tanesco pale Ubungo liko ndani ya Road reserve, hivyo nalo litavunjwa, hata kama si leo, lakini litavunjwa. Pia hata kama si mimi ni mwingine; tuzingatie sheria zinavyosema..

umeona ee
 
Na mm ananiandalie kadi kama akilivunja,,,,
 

Ringo Edmund, naomba ufafanuzi wa thread yako. Kwani hilo jengo hao tanesco a.k.a tanesko wamekoshiwa ama la kwao?
 
 
Ringo Edmund, naomba ufafanuzi wa thread yako. Kwani hilo jengo hao tanesco a.k.a tanesko wamekoshiwa ama la kwao?


Mi nafikiri wamekodishiwa na siyo mali ya tanesko a.k.a Tanesco!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…