Kidogo Dar inapendeza

astranaut

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
1,276
Reaction score
1,024
Ni muda kidogo nilikuwa sijafika Dar ambapo jana nimefanikiwa kufika baada ya miaka kadhaa nimekuta mambo yamechange sana kulinganisha na miaka ya nyuma.

Hata ile ubungo iliyokua na folen haipotena ipo ubungo mpya safi na hongera kwa serikal kutatua changamoto mbali mbali ktk jijini la dar na nchi kwa ujumla.

But naomben kuuliza kwa wale waliokua wanatembelea Dar mara kwa mara na wakazi wa jijin hili-apa ubungo naona over bridge ya watembea kwa miguu ilianza kujengwa lini na ilikamilika lini(ktk awamu ipi)
 
Mkuuu ina maaana huko Katavi hata TV ulikuwa huangalii wakati hata ukiwa Karema au Mishamo unaona habari za Dunia nzima. Karibu Daaslam Mkuu
 

Ilijengwa na Governor Richard Turnbull , mwaka 2011
 
lipia tangazo lako mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..........
Dar nikuzur sana siku hizi
 
HIVI WEWE NDIO YULE ULIEMKODI MTU WA KUKUSHIKA MKONO USIPOTEE KWENYE JIJI LA BASHITE
 
Mkuuu ina maaana huko Katavi hata TV ulikuwa huangalii wakati hata ukiwa Karema au Mishamo unaona habari za Dunia nzima. Karibu Daaslam Mkuu
Tv kna vitu vingne haioneshi mkuu isipokua tu kitu nilichofanikiwa kuona kwenye tv ni daraja la mfugale
 
Dar itakua safi siku ukisikia Bashboy ameachia ngazi. Nina uhakika siku hiyo beer zitaisha kwenye bar zote za Dar
 
Apo
Dar itakua safi siku ukisikia Bashboy ameachia ngazi. Nina uhakika siku hiyo beer zitaisha kwenye bar zote za Dar
Apo sasa ndo itarudi dar ile ya mwaka 2000.Cku hizi mtu kariakoo sokoni waongea na simu bila wasiwasi hakuna wa kuhangaika na wewe eti akukwapulie,nimetembea kutoka manzese hadi ubungo kwa miguu usiku hakuna ata alie nisogelea kunipiga kbega anikwapue hii ndo dar ninayoitaka mimi cjui ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…