Tatizo simba tunaenda na jezi zetu ON, alafu hatutakuwa mbali nao kwenye kukaa.Uzalendo kwanza hao ni wa kupuuzwa tu na pua zao ndefu.
Uzalendo kwanza hao ni wa kupuuzwa tu na pua zao ndefu.
Utatoka na soni.......nakushauri ubebe na ya kubadiliBila ya unafiki, najiandaa kwenda taifa na jezi zangu za Simba kuwacheki wa kimataifa, sitakaa mbali na hao mashabiki wa Al Ahly.
Hivi hii mechi inaoneshwa TV station gani?Kwa hiyo leo tutegemee kuwashuhudia waarabu weusi uwanja wa taifa wakiipa nguvu timu yao! makubwa haya!!
Hivi hii mechi inaoneshwa TV station gani?