kutokana na elimu ya saikolojia niliyosoma kwenye kitabu kilichoandikwa na Idd Amin,huyu mleta uzi yupo sahihi....100 %. Mtu akiandika kama vile amefumaniwa ujue anachokiandika kakicopy kwenye faili nyeti.