daud semvua
New Member
- Mar 24, 2018
- 3
- 0
Aaah poa ...kwelii atapangiwa university!Amna ana pangiwa chuo kikuuu ....waone TCU
Unaingia jukwaa la elimu then unajibu hivi kweli? au ni ili ufurahishe watu?Amna ana pangiwa chuo kikuuu ....waone TCU
Mkuu,mtafutie private,ufaulu safari hii upo juu,kwa ufaulu huo kupata nafasi ni vigumuEti wadau mtu akipata alama ya
A hisabu, B kiswahili, C maarifa, D engl, D stad
ana grade C
je anapangiwa shule secondary?
Kuna watoto wana A mwanzo mwisho lkn hawakuchaguliwa lkn waliopata D mwanzo mwisho wamechaguliwa.hapana naulizaaa tuuu maana kuna watoto wamepata hvyo thn majina yao hayapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetisha mkuuKuna watoto wana A mwanzo mwisho lkn hawakuchaguliwa lkn waliopata D mwanzo mwisho wamechaguliwa.