Kichaaa

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
KICHAA anakuna Macho huku kavaa MIWANI,
Mwenye AKILI akamwambia si Uvue Miwani ndio Ukune Macho vzr?
Kichaa akajibu mbona ukijikuna mata.ko huvui chupi,,,?
 
Kumbe akili ya kichaa haiharibiki yote.Ipo inayobaki kumwezesha
kutoa swali gumu kama alivyotoa huyo kwenye thread.
 
Huyo ni kichaa tu! Ukikuna juu Pichu utajihisi tu,sasa kukuna juu ya miwani ni wendawazimu tu.
 
Mtoa mada huyo kichaa ni kichaa kweli kweli kupona kwake amsubiri masihi arudi!!
 
KICHAA anakuna Macho huku kavaa MIWANI,
Mwenye AKILI akamwambia si Uvue Miwani ndio Ukune Macho vzr?
Kichaa akajibu mbona ukijikuna mata.ko huvui chupi,,,?

Hahahahaha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…