Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 May 1, 2014 #1 Attachments ImageUploadedByJamiiForums1398923623.817951.jpg 40.7 KB · Views: 943
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 May 1, 2014 #2 Watu wanapenda kula...
Rapherl JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 3,504 Reaction score 2,256 May 1, 2014 #3 Yaani huyu jamaa kajichora Tattoo ya Migahawa tu?!
E eliza925994 Member Joined Apr 30, 2014 Posts 8 Reaction score 2 May 1, 2014 #4 New way for Ad . 😛opcorn:
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 May 1, 2014 Thread starter #5 Rapherl said: Yaani huyu jamaa kajichora Tattoo ya Migahawa tu?! Click to expand... Akilala anaiota hiyo migahawa na ikipigwa marufuku lazima afe tu!
Rapherl said: Yaani huyu jamaa kajichora Tattoo ya Migahawa tu?! Click to expand... Akilala anaiota hiyo migahawa na ikipigwa marufuku lazima afe tu!
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,351 Reaction score 13,140 May 1, 2014 #6 utafiti said: Watu wanapenda kula... Click to expand... Kula ili Usife hivyo ni Lazima watu wapende kula.... hata watoto wachanga
utafiti said: Watu wanapenda kula... Click to expand... Kula ili Usife hivyo ni Lazima watu wapende kula.... hata watoto wachanga
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 May 1, 2014 #7 Huyo atakua tangazo la mc donald au kazi yake pizza delivery lol Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Huyo atakua tangazo la mc donald au kazi yake pizza delivery lol Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,688 May 1, 2014 #8 Mwili haujengwi kwa mawe wala hahitaji kujichora tatoo ukimuona tu unajua misosi inatokea wapi lol
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 May 1, 2014 #9 Hawa jamaa wanagonga sana sosi
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 May 1, 2014 #10 Kuna watu wana KIPAJI cha kula!!!!!
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 May 1, 2014 #11 hicho ni kipaji cha kuzaliwa...
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,868 May 1, 2014 #12 na mwili umestawi aswaaa!
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,744 May 1, 2014 #13 mwambieni kuna Ukonga, Segerea, Kinoa Miguu na mengineyo kama Keko.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 May 1, 2014 #14 Kaweka na machata ya migahawa mwilini mwake! Kweli kila mtu na starehe yake
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 May 1, 2014 #15 Mwili ulioshiba samadi
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 May 1, 2014 #16 HARUFU said: Kaweka na machata ya migahawa mwilini mwake! Kweli kila mtu na starehe yake Click to expand... kama wewe unavyo penda starehe ya kupiga miayo,tehe tehe teheeeee
HARUFU said: Kaweka na machata ya migahawa mwilini mwake! Kweli kila mtu na starehe yake Click to expand... kama wewe unavyo penda starehe ya kupiga miayo,tehe tehe teheeeee
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 May 1, 2014 #17 Kuzunguka hiyo migahawa itakuwa inamchukua mwezi mzima
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 May 2, 2014 #18 bysange said: kama wewe unavyo penda starehe ya kupiga miayo,tehe tehe teheeeee Click to expand... Ni kweli, hujakosea ndugu yangu
bysange said: kama wewe unavyo penda starehe ya kupiga miayo,tehe tehe teheeeee Click to expand... Ni kweli, hujakosea ndugu yangu
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 May 2, 2014 Thread starter #19 bysange said: Kuzunguka hiyo migahawa itakuwa inamchukua mwezi mzima Click to expand... Hahhahha...anavyopenda kula atazunguka tu hata kwa miguu
bysange said: Kuzunguka hiyo migahawa itakuwa inamchukua mwezi mzima Click to expand... Hahhahha...anavyopenda kula atazunguka tu hata kwa miguu