Kiburi cha kupendwa mwisho wake majuto

Kiburi cha kupendwa mwisho wake majuto

Joined
Jul 9, 2020
Posts
31
Reaction score
24
Nilizama penzini na binti wa kisukuma lahasha i take as mythical issue but dah mwanamke uyu aka jaaa kwa penzi langu akazama mazima.

Then after nikavimba kichwa,sifichi makucha yangu na mademu wangu wa njee ka tamaa za mwili,akusita kuniambia, alikaaa kulia kifuani kwangu lakin kidume mim mjinga nikavimba kichwa na kuendeleza mienendo yangu

Sitasahau usiku mmoja tukiwa tumelal akasema leo ndosiku ya mwisho kukupenda, nilicheka san nikijua awez, dah kesho yake simpati kwa simu. Hakika niliumwa sana nikaja gundua nampendaa.

Dah! Kidonda kilikauka lakin kikarudia tena jerah nilivyo anzisha mahusiano mengine awa ni vimbwanga yaani hawawezi kuponya donda langu.

Kwako mpendwa leo nakuwaza sana naijua thamani yako forever remember u love you Vivian yote kwa yote tueshimu watu watupendao

255755476902_status_7b2a371ae0c642a18b14159a6f13f645.jpeg
 
Back
Top Bottom