Hili lifanyike na kwa mashabiki pia.Simba ifumuliwe yote waondoke wote wabaki wale wafia timu tuu wanaojulikana kina zimbwe..
Mechi 20 goli moja, kiungo mshambuliaji, huyo hata bure wamwacheMtani wangu unatakiwa utambue kuwa mpira wa sasa ni uwekezaji! Na ninaposema hivyo, namaanisha pesa! Siku hizi hakuna tena mambo ya kufia timu.
Wekeni mzigo wa kutosha mezani, ili kijana asaini mkataba mpya. Kinyume na hapo, mhesabie maumivu.
Unataka kusemajeMkuu,
Bado unatafuta ajira..
Nauliza kwa Nia nzuri TU
Kuna aina 3 za kujibu maswali..Unataka kusemaje
Umenena mtaalam! Mchezo kutumia nguvu na akili kama kweli amepata sehemu inamlipa aende, maisha yake yanapita ila Simba ipo tuu! Akapige pesa atengeneze maisha huu ndio wakati wake!Mpira wa miguu ni mchezo wa muda mfupi sana Kibu Denga yuko sahihi mno kwasasa afuate maslahi yalipo asiangalie sura, muda wake ni huu yuko on fire, iwapo atakuja kwetu uto utakuwa uamuzi sahihi maana ata shine sana. Angalia Mudathir wa Azam na Mudathir wa Yanga.
Simshauri kwenda Azam, huko ataenda akitokea Yanga kwa dau kubwa. Kiukweli uto atafit sana na kiwango chake kitakua kikubwa, sisi uto hatuhitaji afunge tunachotaka akasaidiane na wenzake kutia kashkash lango la wapinzani mpaka Real Madrid waombe game nasisi ya kirafiki.
Watu wa bugoi hawajawahi kuwa wajinga chukua hela Kibu mpira ni ajira yako, njoo Yanga ubebe makombe kama Mkude, hao hao makolo wanaokubembeleza leo mpira ukiisha ghafla watakutupa bila kukuangalia usoni.
Zimbwe si ndio mashabiki wanamuandama anachomesha!?Simba ifumuliwe yote waondoke wote wabaki wale wafia timu tuu wanaojulikana kina zimbwe..
Kwa uzoefu wangu hapa jf wengi huwa wanauliza ilo swali kwa lengo la kunifanyia dhiaka ndio maana sitoagi jibu la moja kwa moja. Ajira bado sijapataKuna aina 3 za kujibu maswali..
😊😊
1.swali kwa swali
2.swali kwa mkato
3.swali kwa maelezo
Asante Sana kwa jibu lako case closed
✌️✌️
Sio wote mkuuKwa uzoefu wangu hapa jf wengi huwa wanauliza ilo swali kwa lengo la kunifanyia dhiaka ndio maana sitoagi jibu la moja kwa moja. Ajira bado sijapata
Juzi katoka Boko halafu kajifanya anatumia.Zimbwe si ndio mashabiki wanamuandama anachomesha!?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Simba yote imeoza na kuporomoka,huo ndio ukweli mchungu, hakuna mchezaji mwenye afadhali, mi siamini katika kumshambulia Tshabalala kama vile anacheza peke yake uwanjani.Juzi katoka Boko halafu kajifanya anatumia.
ndio hivyo sasa,simba waachane naeKibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa viongozi wa Simba.
Na inavyoonesha Kibu aonekana ana ofa kubwa zaidi nje ya mipaka ya Tanzania kwahiyo ameanza kushinikizwa na wanao msimamia na yeye mwenyewe ameonyesha nia ya kutoendelea kucheza Simba.
Sasa ukilitazama hili suala binafsi bado naona kuna sanaa inayoendelea kwa wachezaji wengi baada ya kupata jina kubwa na kuibwa ndani ya klabu yake yaani kuonesha kuwa ni muhimu kwahiyo inapelekea kutumia fursa ya kupiga hela ndefu.
Lakini kwa ushauri wangu tu hizi sanaa ni mbaya kama mchezaji aliyekuwa kama anahisi anahitaji kwenda kucheza mpira sehemu nyingi aende kwa mazungumzo mazuri na viongozi kuliko kufanya vituko kama anavyovifanya Kibu au Feisal na Dube.
Basi ifumuliwe yote...hahahaZimbwe si ndio mashabiki wanamuandama anachomesha!?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Shabiki kama unataka jitoe mwenyewe..Hili lifanyike na kwa mashabiki pia.
Maumivu kuondoka kwa Kibu? Mm kwa sasa kiukweli hata akiondoka nani sitaumia moyo...Mtani wangu unatakiwa utambue kuwa mpira wa sasa ni uwekezaji! Na ninaposema hivyo, namaanisha pesa! Siku hizi hakuna tena mambo ya kufia timu.
Wekeni mzigo wa kutosha mezani, ili kijana asaini mkataba mpya. Kinyume na hapo, mhesabie maumivu.
Ifike muda mashabiki tujue wachezaji nao ni binadamu kuna ups and downs sema viongozi waambie wachezaji anaetaka kubaki abaki anae taka kwenda aende kuliko kuihujumu timuBasi ifumuliwe yote...hahaha
Na viongozi tuendelee nao wale wale tu.Shabiki kama unataka jitoe mwenyewe..
Kwani ninyi mlimsajiri kwa ajili ya kufunga au kujituma? Si mlisajiri kwa ajili ya kujituma na akawa anajituma? Shida ipo wapi?Mtu ana goli 1 mechi 20 wa nini? Viongozi wa simba wajinga sana