Kibo Complex ni ya nani?

msaki hawezi kuniajiri.mimi ninajilipa interms of dollar.ni nani anae weza kuniajiri.nimeji ajiri na sidhani katika maisha yangu naweza kuja omba ajira.msaki huwa ananitafuta ili niweze kumshaur na angalau akue kidogo kiuchumi

Wewe sio bure , mara ulikatwaga nyeti , mara wewe ni mwalimu , mara leo unalipwa kwa dola na mara hautaki kuajiriwa. Amakweli wewe ni issa ramadhan... Hongera sana
 
Msaki mkubwa ndiye anakaa basi haya,huyo wa kibo anakaa nyaishozi.Pia hakuna wake zao ambao walikua ma housegirl walikua nurses.Ukisema alikua house girl ina maana ni mke wa pili au?acha kutakana wanawake wenzako

kutakana ndio nini?
Punguza povu ndo uongee
 
Ni ya mchaga mmoja mwenye shule ya sekondari WAZO. anaitwa MSAKI ila nasikia hiyo ni danganya toto tu ni ya mama ben
Hakuna mwenye hisa haswa wanasiasa au mtu yoyote ktk mali zake!na siku zote hataki kuzoeana na mwanasiasa yoyote.Urafiki unakuwepo anapokua na shida ktk hiyo taasisi na wewe ndiye mhusika basi
 
Ukisha kuwa na tabia yakujadili maisha ya watu kila siku utakuwa hivyo, jiulize lini na ww watu watakujadili?
 
msaki hawezi kuniajiri.mimi ninajilipa interms of dollar.ni nani anae weza kuniajiri.nimeji ajiri na sidhani katika maisha yangu naweza kuja omba ajira.msaki huwa ananitafuta ili niweze kumshaur na angalau akue kidogo kiuchumi
sasa kama hawezi kukuajiri hizo genye za kuhangaikia maisha yake umezitoa wapi
 
Hakuna lolote muulizaji ana ugonjwa majunguliasis na chademaliasis vyote kwa pamoja ni husdaliasis.... dawa yake no tembe 30 october
 
Nimeona greda limeshushwa juzi pale nyaishozi kwenye uwanja upande wa kushoto kama unatokea mjini, huo uwanja walikuwa wanavunja kokoto na ni prone kwa mafuriko. Kama wewe kwrli ndio ulimshauri ajenge Kibo, badi nimekuvulia kofia.
 
Mkubwa twende mbele turudi nyuma, jamaa kajitahidi. Na pia kachukua risk ambayo i'm 100% sure wewe usingeweza kuichukua. Tumpe credit jamaa mahitaji muhimu twapata bila ya kwenda mlimani city au mjini.

Sifikirii ndugu yangu kama ungekuwa mil 200 au 300 za kuwekeza, ungejenga kamall kama kale.

Maoni tu.
 
Hahahaha...
 
msaki hawezi kuniajiri.mimi ninajilipa interms of dollar.ni nani anae weza kuniajiri.nimeji ajiri na sidhani katika maisha yangu naweza kuja omba ajira.msaki huwa ananitafuta ili niweze kumshaur na angalau akue kidogo kiuchumi
Yaaani wewe na uandishi wako huo wa kila neno nukta na hata hujui wapi poa kuweka capital letters ndio mtu akufuate kwa ushauri?
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…