Samahani, utalala saa ngapiWaache wakimbie tu
saa 6Samahani, utalala saa ngapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah!!Kwa hiyo unataka kusema wale polisi wa kule kibiti wote ni WANAWAKE sio??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nataka kuwa kama yeyeLol... Mbona unambana hvyo mshkaji..
Juzi baada ya swala ya Ijumaa kuna msikiti umevamiwa na Kuwateka waumini wote waliosali sala hiyo na kwenda nao kusikojulikana. Ni hapo Jaribu.Baada ya wanaume kuingia..
Panya wote wamekimbia...
Ibada ilijaa mihemko na mafunzo ya kigaidi sasa hawawezi kuachwa..Juzi baada ya swala ya Ijumaa kuna msikiti umevamiwa na Kuwateka waumini wote waliosali sala hiyo na kwenda nao kusikojulikana. Ni hapo Jaribu.
Kwasababu wamefanya wenyewe naona hakuna mtu aliyethubutu kuripoti hii issue.