Ndio hapo Polisi wanapofanya siasa na kuita ni ujambazi wakati sivyo!Unaweza kuchekelea hili suala la kuuwawa baadhi ya watu lakini mwisho wake kicheko kitageuka kuwa kilio.
Wanasiasa wameanza kulifanya ni suala la kisiasa lakini wenye uelewa mpana wanafahamu hili sio suala la kisiasa pekee.
This is low level terrorism.
mtatiro unacheza ngoma usiyoijua. hivi sasa wanakuona covinient kua na wewe lakini iko siku watakutwanga na wewe risasi. serikali ilizembea itikadi kali kuenezwa misikitini hadi mafunzo ya kivita sasa ndio tunavuna tulichopanda.MWENYEKITI WA KITONGOJI WA (CUF) APIGWA RISASI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.
Jana usiku Katika Oparesheni ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wamempiga Risasi Mwenyekiti wa Kitongoji wa CUF pamoja na raia mwingine, huko Nyamisati, Kibiti.
Mwenyekiti huyo ni Moshi Sefu Machela na ni mwanachama. Na baada ya kumpiga risasi vyombo hivyo vya ulinzi vilimkokota na kuelekea naye kusikojulikana na hali yake haijulikani.
Kinachotokea Rufiji/Mkuranga/Kibiti hivi sasa ni Dola kwenda kulipiza kisasi kwa raia wasio na hatia ( hususani Viongozi wa CUF) ili kufuraisha na kutuliza nafsi za ndugu jamaa na marafiki wa raia waliouawa ambao wengi wao walikuwa viongozi wa CCM.
Hadi sasa viongozi zaidi ya (20) wa CUF wameshakamatwa bila sababu, wanateswa na kisha kiachiwa bila kufunguliwa mashtaka. This is very bad and shameful indeed.
Unapotaka kuwafutalia JANJAWEED wanaowaua viongozi wa CCM kwa kuwatesa viongozi wa CUF unajenga visasi huko mkoani Pwani. Sijui nani anavifundisha vyombo vyetu kuwa mbinu yao hii ya kikatili na ya kuumiza watu wasio na hatia itakuwa na tija.
I am so worried kuwa taifa letu linaelekea mahali kusiko salama.
Julius S. Mtatiro
09/06/2017
kuna haja ya kupeleka wale vijana wa kuvunja matofari kwa kichwa ,kwani hapa tulipofika hapana haikubariki hata!MWENYEKITI WA KITONGOJI WA (CUF) APIGWA RISASI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.
Jana usiku Katika Oparesheni ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wamempiga Risasi Mwenyekiti wa Kitongoji wa CUF pamoja na raia mwingine, huko Nyamisati, Kibiti.
Mwenyekiti huyo ni Moshi Sefu Machela na ni mwanachama. Na baada ya kumpiga risasi vyombo hivyo vya ulinzi vilimkokota na kuelekea naye kusikojulikana na hali yake haijulikani.
Kinachotokea Rufiji/Mkuranga/Kibiti hivi sasa ni Dola kwenda kulipiza kisasi kwa raia wasio na hatia ( hususani Viongozi wa CUF) ili kufuraisha na kutuliza nafsi za ndugu jamaa na marafiki wa raia waliouawa ambao wengi wao walikuwa viongozi wa CCM.
Hadi sasa viongozi zaidi ya (20) wa CUF wameshakamatwa bila sababu, wanateswa na kisha kiachiwa bila kufunguliwa mashtaka. This is very bad and shameful indeed.
Unapotaka kuwafutalia JANJAWEED wanaowaua viongozi wa CCM kwa kuwatesa viongozi wa CUF unajenga visasi huko mkoani Pwani. Sijui nani anavifundisha vyombo vyetu kuwa mbinu yao hii ya kikatili na ya kuumiza watu wasio na hatia itakuwa na tija.
I am so worried kuwa taifa letu linaelekea mahali kusiko salama.
Julius S. Mtatiro
09/06/2017
Halafu wanataka ushirikiano na raiaKumbe ndio hivi? Moto unazima kwa petrol ile ya miaka ya 90? Yangu macho
Ni misikiti gani hiyo inayotoa mafunzo ya kivita, unaweza kulisaidia jeshi la polisi.mtatiro unacheza ngoma usiyoijua. hivi sasa wanakuona covinient kua na wewe lakini iko siku watakutwanga na wewe risasi. serikali ilizembea itikali kali kuenezwa misikitini hadi mafunzo ya kivita sasa ndio tunavuna tulichopanda.
Wafikishwe mahakamani kama ni wahalifu,kwanini wakamatwe na kuteswa?Huyu Mtatiro sidhani kama ni mkurya halisi. Ninavyowafahamu wakurya hawana asili ya majungu. Nakushauri mr Mtatiro muulizie mama yako akwambie baba yako halisi na ni kabila gani. Kisha ubadili hilo jina la MTATIRO. Kwani unawaaibisha wakurya
Kwani Mr Mtatiro unawafahamu wanachama wote wa cuf ya kwamba ni watu wema, hakuna mharifu hata mmoja ambae ni mwanachama wa cuf?
Kama mambo yenyewe ndio haya, basi huko tunakoenda ni hatari zaidiHalafu wanataka ushirikiano na raia
Unaonaje hili suala la polisi la kukamata viongozi wa cuf ?Unaweza kuchekelea hili suala la kuuwawa baadhi ya watu lakini mwisho wake kicheko kitageuka kuwa kilio.
Wanasiasa wameanza kulifanya ni suala la kisiasa lakini wenye uelewa mpana wanafahamu hili sio suala la kisiasa pekee.
This is low level terrorism.
Yangekua kwa Chadema usinge kebei kwa kiwamgo hiki OK kwa kua hayana mmoja muda utaongeaHuyu Mtatiro sidhani kama ni mkurya halisi. Ninavyowafahamu wakurya hawana asili ya majungu. Nakushauri mr Mtatiro muulizie mama yako akwambie baba yako halisi na ni kabila gani. Kisha ubadili hilo jina la MTATIRO. Kwani unawaaibisha wakurya
Kwani Mr Mtatiro unawafahamu wanachama wote wa cuf ya kwamba ni watu wema, hakuna mharifu hata mmoja ambae ni mwanachama wa cuf?