ila twende ndani turudi nje timu lenu ni timu la vituko sana...ππ π π π Simba ni content itumie vzr upige hela huko mainstagramuni...na matiktokuni....
Tumia wakati wako vizuri kijana..ila twende ndani turudi nje timu lenu ni timu la vituko sana...π
Haha! mmeshatupa begi maana yake hamna tena hali, hamu wala tumaini...Tumia wakati wako vizuri kijana..
Sie tushafika Fainali ya CAF...
Kibegi kimebakia na kombe moja la nbc...
π π π
Lile la Kisigu limo humokatika hali ya kushangaza kibegi maarufu cha mashabiki lia lia wa simba kimeonekana kutelekezwa vichakani,kuelekea mwisho wa msimu ambapo simba sc wakionekena kukata tamaa kupata hata kikombe cha al kasusu wameona kibegi hicho labda ni gundu kwa timu na kuamua kukitelekeza vichakani
timu hiyo imebakiza kombe moja tu ambalo nalo ili kulipata labda bingwa wa kihistoria asilete timu tarehe 15 ili wapate ushindi wa mezani na kuweza walau kupata chochote msimu,huku bingwa huyo wa kihistoria anaonekana nae anataka kuleta timu ili simba akose chochote kitu msimu huuView attachment 3352862
Anaezibeza mbio za Simba hana tofauti na zuzu maji...Haha! mmeshatupa begi maana yake hamna tena hali, hamu wala tumaini...
ila mbio mlizokimbia si haba mnafaa kuwa wanariadha...π
samaleko...πAnaezibeza mbio za Simba hana tofauti na zuzu maji...
Hahahaha π π
Hongereni. Napenda sana mnavyopata tabuAnaezibeza mbio za Simba hana tofauti na zuzu maji...
Hahahaha π π
Mkuu wapi iyo.katika hali ya kushangaza kibegi maarufu cha mashabiki lia lia wa simba kimeonekana kutelekezwa vichakani,kuelekea mwisho wa msimu ambapo simba sc wakionekena kukata tamaa kupata hata kikombe cha al kasusu wameona kibegi hicho labda ni gundu kwa timu na kuamua kukitelekeza vichakani