Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama. Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa. Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge. Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma? serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
BADILISHA HEADING,WEKA HIVI ''KIBARUA CHA CAG HATARINI KUOTA MBAWA
Peleka Ujinga wako huko! Umekaa kiumbea Sana. Nenda kasome ujiridhishe Kama CAG anatumbuliwa Kama vihiyo wenzako huko CCM! Assad is there to stay until 2021! Pasukeni, jichomeni vidole kwenye vinyeo vyenu, Hakuna wa Kumtumbua Assad, so better swallow your bitter pills!Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama. Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa. Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge. Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma? serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
SAWA SHEHE YAHAYANo hicho nilichoandika ndicho kinaenda kutokea, kwa hiyo sidhani kama nitabadilisha. subiri muda siku chache zijazo utashangaa
Mwenye udhaifu aweza kupona,huyu hafai kabisa. Mboga zilizochacha waeza kuzila tena? Hata ukizipasha moto,utajifariji kwakuwa huna kiweo kingine lakini lazima uharishe sanaBunge la ndugai ndilo bunge dhaifu mno tangu tupate Uhuru. CAG yupo sahihi kabisa. Na hakujawahi kutokea spika dhaifu kama ndugai katika historia ya bunge la Tanzania.
wala siyo akiba that's what is going to happen soon, just take heedNaona umeweka akiba ya Uzi kabisa ili akiliwa kichwa uje kukumbushia uzi
Siyo rahisi Kama unavyofikria CAG anaweza tumbuliwa Soma katiba vizuri utajua ni njia ipi CAG anaweza tumbuliwa .Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama. Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa. Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge. Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma? serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
Rais hana uwezo wa kumtoa CAG madarakani kwa mujibu wa sheria.No hicho nilichoandika ndicho kinaenda kutokea, kwa hiyo sidhani kama nitabadilisha. subiri muda siku chache zijazo utashangaa
Sio tangu tupate Uhuru, ni tangu mfumo wa kibunge ulivyoanza Tanganyika kabla ya Uhuru na baada ya uhuruBunge la ndugai ndilo bunge dhaifu mno tangu tupate Uhuru. CAG yupo sahihi kabisa. Na hakujawahi kutokea spika dhaifu kama ndugai katika historia ya bunge la Tanzania.
Kama ni kweli basi atatoka kwa heshima kubwa na tutamkosa mtu ambaye ni mkweli na muadilifu.Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.