Mpasua Jipu
Member
- Jun 18, 2012
- 12
- 3
Ushauri wa Kibanda kuhusu Mulinda na Ratifa umedharauliwa na Husein Bashe. Kibanda alishauri Mulinda aondolewe kwenye uhariri kwani anatumiwa na dola kupotosha sakata lake, upo ushahidi kwamba amepewa mamilioni kwa kazi hiyo, na Ratifa adhibitiwe kwani anatumia gazeti kuficha kazi yake maalumu na uhusiano wake binafsi na Kibanda. Jukwaa la wahariri limewachunguza Mulinda na Ratifa na kubaini wameamua kuwachafua Ngurumo na Balile na limependekeza wachukuliwe hatua lakini Bashe amekataa. Kibanda alimweleza Ngurumo dhambi ya Mulinda na Ratifa lakini mpaka leo Bashe yupo kimya. Bagenda kasema wafukuzwe Bashe kagoma. Kuna nini hapo?