Kibamia Kimemchanganya

Kibamia Kimemchanganya

Kugeuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
333
Reaction score
225
Hayawi hayawi leo yamekua!!!! Kwa wale wenye vibamia,msikate tamaa ila mjue namna ya kuvitumia. Nipo na Dadaangu wa hiari hapa tunapata moja bridi moja muotoo!!! Story za hapa na pale tukafikia kwenye ishu ya vibamia,ndipo alipoanza kufunguka.


Ananiambia,kuna siku alikutana na jamaa ambaye ana body kubwa,yaani mwili jumba,ila walipofika chumbani akashangaa kumuona ana kijidude kidogo balaa,wenyewe cku hizi mwaita Kibamia!!! Akajibaraguza kimtindo,ngoma ikawekwa kati.

Anakwambia hajawahi kutana na mwanaume mtundu kama yule,anasema kashakutana na mitaliboko km ya punda lakini hakuwahi kuinjoi kama kwa kile kibamia,na mara nyingi akimkumbuka hutamani ku do naye tena ila ndo hivyo jamaa yupo nje ya nchi Anakwambia hakuamn km angeweza kumfikisha kunako raha kama ile.

Sasa nikwenu wenye vibamia,msikate tamaa,onhezeni utundu uhakikishe anafika kwenye kale kautam unakoweza mtukana mtu yoyote na kujiona uko sawa. Usiku mwema
 
Kumbe alikuw na dili la kwenda nje ya nchi...!!?? Nadhani huyo binti aliona hapo ni GREEN PASTURE, so ni lazima ajizoeshe kumsifia tu, hakuna namna...!!!

Hawa mabinti hawa, wizi mtupu, yan hata ukiwaambia unaenda Zanzibar tu, kila sifa utapewa. Achana na Marekani au China, we sema unaenda Pemba tu, utaitwa baby, honey, switii ++++...!!!
 
Back
Top Bottom