The atlantic
JF-Expert Member
- Aug 1, 2023
- 558
- 951
So kisainiwe hivyo hivyonenda kwanza huko unakoenda ukifka watarekebisha fanya fasta
Ulimuandikia nani ombi lako na amekujibu nani?Rudi hukohuko ukawaeleze.Umeshindwa kabisa kutumia makamasi yako kutatua changamoto yako?Wanabodi wasalaam.
Kibali changu cha uhamisho kimetoka japo kimekosewa kwenye kada.
Mimi niko idara ya afya na kibali changu kimetoka kikiwa kinani'refer Kama mwalimu.
Nifanyeje? Msaada wanandugu.
Nenda stationary kanunue correction pen. Futa neno "Mwalimu" andika neno "Afya*! Simple!Wanabodi wasalaam.
Kibali changu cha uhamisho kimetoka japo kimekosewa kwenye kada.
Mimi niko idara ya afya na kibali changu kimetoka kikiwa kinani'refer Kama mwalimu.
Nifanyeje? Msaada wanandugu.
Mkuu mambo ya kiserikali haya yana taratibu zake.Ulimuandikia nani ombi lako na amekujibu nani?Rudi hukohuko ukawaeleze.Umeshindwa kabisa kutumia makamasi yako kutatua changamoto yako?
Mkurugenzi, afisa utumishi na dmowe umesema kibali kimetoka sasa kisainiwe na nani tena
nenda kwanza huko unakoenda ukifka watarekebisha fanya fasta
Mkuu mambo ya kiserikali haya yana taratibu zake.
Noted big bossRudi kwa HRO wako mueleze changamoto yako.Kuandikaandika mambo ya "kiserikali" humu JF ni utovu wa maadili kikazi.Hima,amka uende.