Umepata shavu wapi ndugu....unakumbia Halmashauri kwenye njaa huu.? Ukipata jibu nitag mie pia napambana kuhama huku hamshauri maana njaa kali sema mambo bado magumu ila aendelea kufanya aombi mbalimbali...mie ni teacher kama kuna connection nipe ndugumsaada tafadhali, hiv kbali cha uhamisho kutoka kwa katbu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi (n posta au) na je huchuchua muda gani hadi kufka?
Namba ya huduma kwa wateja utumishi 026 216 0240. Wapigie muda wa kazi ni bure. Hii ni kama zile huduma kwa wateja za mitandao kama voda , tigo yaanj 100. Hivyo utafata maelekezo mwisho utaongea na muhudumu. Ikishindikana nenda Dodoma ndugu kuchelewa chelewa unaweza mkuta mwana si wakomsaada tafadhali, hiv kbali cha uhamisho kutoka kwa katbu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi (n posta au) na je huchuchua muda gani hadi kufka?